mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,994
Benjamin William Mkapa katika hotuba ya uzinduzi wa kitabu chake alikiri kuwa, Moja ya kosa alilojutia ni suala la Ubinafsishaji.
nanukuu kauli yake;
"Nikiri kuwa moja kati ya kitu kinachoniuma zaidi nilichokifanya kipindi cha utawala wangu ni kuruhusu sera ya ubinafsishaji. Sera hii haikumsaidia kwa kiwango kilichotarajiwa Mtanzania na badala yake Watanzania waligeuka wageni katika rasilimali zao. Kukubali kwangu sera ile kulikuwa na lengo zuri la kuwafanya Watanzania waondokane na lindi la umaskini kupitia uwekezaji ungeofanywa katika rasilimali zao. Sikutarajia kama sera ile ingeweza kuwafanya wageni wawe na sauti katika rasilimali za taifa kuliko wazawa. Na endapo ningepata nafasi ya kuwa kiongozi tena wa taifa hili ningerekebisha sera ya ubinafsishaji haraka ili walau Watanzania waanze kufaidi rasilimali za nchi yao, badala ya kuwa mashuhuda wa wageni wanaoendelea kuneemeka na rasilimali za nchi".
MWISHO WA NUKUU.
WE SHOULD THINK TWICE AND THRICE.
Tusiamini kurudia makosa kutatupa matokeo chanya.
Tujisahihishe
Amkeni Watanganyika kutoka kwenye usingizi wa Pono