Freeman Mbowe aanza Ziara ya Kikazi Nchini Uingereza

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,586
Reaction score
287,265
Taarifa iliyosambazwa na Chadema kwenda kwa watu wote Duniani imeeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho , Mwamba Mwenyewe, Laingwanan, Mfungwa wa kisiasa ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Pemba, anaanza rasmi ziara ya kikazi nchini Uingereza , ambako anatarajiwa kupokelewa na Viongozi Wakuu wa Kimataifa.

Zaidi Taarifa yao hii hapa.

FB_IMG_1687110651341.jpg
FB_IMG_1687110658751.jpg
 
Hicho cheo kilitakiwa kuwa Cha Tundu Lissu , Mbowe akampora
 
Taarifa iliyosambazwa na Chadema kwenda kwa watu wote Duniani imeeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho , Mwamba Mwenyewe , Laingwanan , Mfungwa wa kisiasa ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Pemba , anaanza rasmi ziara ya kikazi nchini Uingereza , ambako anatarajiwa kupokelewa na Viongozi Wakuu wa Kimataifa .

Zaidi Taarifa yao hii hapa .

View attachment 2661813View attachment 2661814
Hakika inapendeza
 
Eti ziara ya kikazi! Ni mkuu wa nchi gani? Sema anaranda kutafuta tonge basi.
 
Taarifa iliyosambazwa na Chadema kwenda kwa watu wote Duniani imeeleza kwamba , Mwenyekiti wa Chama hicho , Mwamba Mwenyewe , Laingwanan , Mfungwa wa kisiasa ama Ustaadh Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Pemba , anaanza rasmi ziara ya kikazi nchini Uingereza , ambako anatarajiwa kupokelewa na Viongozi Wakuu wa Kimataifa .

Zaidi Taarifa yao hii hapa .

View attachment 2661813View attachment 2661814
Angeenda na uberigiji ingefaa saaana
 
Ongeza na ulutheran.
Na nyie pia charity begins at home.msafiri Mbowe Mwenyekiti taifa mtoa Taarifa Mrema mkurugenzi wa habari taifa wote wachaga mnajikuna na kujichekesha wenyewe
 
Mbona mimi siyo mchaga ?
 
Kuna machawa makubwa ya Mbowe humu, chawa kubwa kama kupe. 🤔
 
Back
Top Bottom