Kilichoenda kwa mganga hakirudi, bandari ndio kwaheri

Ashampoo burning

JF-Expert Member
May 12, 2023
421
1,583
Boss ashampoo hatimae nimenunua gari baada ya kuteseka sana baada ya kuuza gari yangu nimebahatisha crown ya mkononi nimeteseka sana jamani miezi sita bila gari boss kama mimi

Tuachane na hayo nikiwa narudi home jioni hii nikasema hebu tuweka mambo sawa bandari ile muelewe yaani hiyo ndo imetoka hakuna wa kuiokoa trust me
Hata mama samia hawezi kujitoa chezea kina madevu wa kiarabu wakiamua lao

Hiyo bandari kwa hela walizonazo dp world hiyo bandari ndo kwa heri Haya twende kimahesabu msije sema naleta habari za vijiweni

Kwa mwaka dp word wanatengeneza pato la tsh trilllion 21 za kitanzania katika madili yao dunia nzima ukibisha ingia mitandaoni andika dp world income per year Sitak ubishi google hapo hata angali profile zao ..

So ukipika hesabu wanatengeneza faida faida nusu ya bajeti yetu kwa mwaka ..yaani wanaweze kutupa bajet yetu nusu

Kampuni hii ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya burundi malawi ...rwanda yaani wameziwazidi uchumi hizo nchi hapo juuu kwa mwaka serious GDP ..sema unaweza weza kama nimewapiga chai aka kamba hapa ila ndo ukweli huo nayo google shenzi wewe hii ni fact...

Sasa basi hii company ni kubwa sana kwa hela zilizomwaga nchini na ukiangalia ukubwa wa company no way hiyo bandari itarudi ndo imeenda

Hawa majamaaa mbinu ya kubwa ni RUSHWA kuanzia juu mpaka chini so hiyo bandari kurudi haiwekani viongozi wote washAwekwa mfukoni hadi tasnia ya habari nayo mfukoni kiukweli kuna mzigo umeshuka sio wa mchezo ndo maana wateteaji wengi wakijua fika huu mkataba wa kihuni hawana jinsi mwarabu ana lipa vizuri

Huwezi shindani na company linalotengezea trillion 21 kwa mwaka wana hela za kuhonga mara nyingi makampuni makubwa kama haya yakishindwa huwa yanamua kufinance civili wars sema kwa hawa hawezi kufanya hivyo because wapi mambo ya logistics ukifanya civil war logistic inakufa kibiashara

Ila DP world ni company kubwa sana

Wanajua fika kuwa ccm ndani imegawanyika juu ya hili swala na mwaka 2025 watatumia nguvu kubwa kufinance uchaguzi mama samia abaki madarakani maana ndo alio waleta pia ana wasupport wanajua akitoka nao wametoka

tusipoangali DP world ndo miaka 30 ijayo dp world na dubai wanaweza wakawa wanaamua nani awe raisi nchini tanzania maana wanajua hawapendwi ..na watanzania wanaona ni kampuni la kifisadi na kikoloni la kiarabu

hata hapa jamiiforum sijui dp haijafika kweli maana mamoderator wanafuta uzi sio mchezo juzi niliandika wakafuta hebu nitest huu
 
Watanzania wameshazuia. Bandari haiuzwi. Tunaruhusu ikodishwe kwa muda maalumu kisha irejeshwe kwetu.
 
Wenye low IQ hawaelewi kuja kuwatoa Dp kuvunja mkataba Tanganyika itaingia HASARA kubwa kuliko Faida
 
Aisee acha tuu haiuzwi shenzi type hata kama mlihongwa shauri zenu rudisheni hela zawatu , trillioni 21 weh wakAfie mbali huko hatutaki bora tubakie hivyo hivyo.

Jingine , mnaokubali ndio hamuoni kesho yenu nyie ndio mnaleta vitu vyenu huku ndani na watawatesa kinyama
 
nimekuja kugundua udini na waarabu ndio unapelekea kulipeka taifa chaka.

Tumetoka kwa mzungu tunakuja kwa waarabu tena sasa wanatumia nguvu ya udini.

Nilichokiona mwanza au kanda ya ziwa mshakwisha hawa watu wameamua kutembeza pesa ili kuweka ushawishi mpaka nyumba za ibada
 
"Boss Ashampoo hatimae nimenunua gari baada ya kuteseka sana baada ya kuuza gari yangu nimebahatisha Crown ya mkononi nimeteseka sana jamani miezi sita bila gari boss kama mimi"
Boss ashampoo hatimae nimenunua gari baada ya kuteseka sana baada ya kuuza gari yangu nimebahatisha crown ya mkononi nimeteseka sana jamani miezi sita bila gari boss kama mimi

Tuachane na hayo nikiwa narudi home jioni hii nikasema hebu tuweka mambo sawa bandari ile muelewe yaani hiyo ndo imetoka hakuna wa kuiokoa trust me
Hata mama samia hawezi kujitoa chezea kina madevu wa kiarabu wakiamua lao

Hiyo bandari kwa hela walizonazo dp world hiyo bandari ndo kwa heri Haya twende kimahesabu msije sema naleta habari za vijiweni

Kwa mwaka dp word wanatengeneza pato la tsh trilllion 21 za kitanzania katika madili yao dunia nzima ukibisha ingia mitandaoni andika dp world income per year Sitak ubishi google hapo hata angali profile zao ..

So ukipika hesabu wanatengeneza faida faida nusu ya bajeti yetu kwa mwaka ..yaani wanaweze kutupa bajet yetu nusu

Kampuni hii ina uchumi mkubwa kuliko nchi ya burundi malawi ...rwanda yaani wameziwazidi uchumi hizo nchi hapo juuu kwa mwaka serious GDP ..sema unaweza weza kama nimewapiga chai aka kamba hapa ila ndo ukweli huo nayo google shenzi wewe hii ni fact...

Sasa basi hii company ni kubwa sana kwa hela zilizomwaga nchini na ukiangalia ukubwa wa company no way hiyo bandari itarudi ndo imeenda

Hawa majamaaa mbinu ya kubwa ni RUSHWA kuanzia juu mpaka chini so hiyo bandari kurudi haiwekani viongozi wote washAwekwa mfukoni hadi tasnia ya habari nayo mfukoni kiukweli kuna mzigo umeshuka sio wa mchezo ndo maana wateteaji wengi wakijua fika huu mkataba wa kihuni hawana jinsi mwarabu ana lipa vizuri

Huwezi shindani na company linalotengezea trillion 21 kwa mwaka wana hela za kuhonga mara nyingi makampuni makubwa kama haya yakishindwa huwa yanamua kufinance civili wars sema kwa hawa hawezi kufanya hivyo because wapi mambo ya logistics ukifanya civil war logistic inakufa kibiashara

Ila DP world ni company kubwa sana

Wanajua fika kuwa ccm ndani imegawanyika juu ya hili swala na mwaka 2025 watatumia nguvu kubwa kufinance uchaguzi mama samia abaki madarakani maana ndo alio waleta pia ana wasupport wanajua akitoka nao wametoka

tusipoangali DP world ndo miaka 30 ijayo dp world na dubai wanaweza wakawa wanaamua nani awe raisi nchini tanzania maana wanajua hawapendwi ..na watanzania wanaona ni kampuni la kifisadi na kikoloni la kiarabu

hata hapa jamiiforum sijui dp haijafika kweli maana mamoderator wanafuta uzi sio mchezo juzi niliandika wakafuta hebu nitest huu
Mkuu hongera sana kuibuka na ndinga Crown, lakini vipi kuhusu ulaji wake wa wese? Kama ni 1998cc basi poa, lakini kama 2997cc, mhh! Maumivu huanza taaaratibu.
 
Back
Top Bottom