Akihojiwa na chombo kimoja cha habari, Mwanasheria Phillipo Mwakilima anemkosoa vikali Spika Tulia Ackson kwa staili yake ya kujifanya ni mtafsiri sheria na mwalimu wa sheria kila sehemu...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mwenyeji wa Rais wa Hungary, Katalin Novak katika Ikulu ya Dar es Salaam, leo Julai 18, 2023.
Rais Katalin Novak yupo katika ziara ya siku...
Watanzania tuendelee kukataa mikataba mibovu na tumlaani atakayeingiza nchi kwenye mikataba mibovu kwa sababu wenye akili kama Hayati Magufuli wakiingia madarakani wakianza kuvunja mikataba mibovu...
1.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Stella Mutabihirwa.
2.Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Berthaneema Mlay.
3. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamishina Msaidizi wa Polisi ACP, Safia...
Katika hali ya kushtua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) imetangaza kuyafuta Matokeo ya urais wa Zanzibar.
Yadaiwa Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi.
Imeahidi kutangaza tarehe rasmi ya...
Tumeona tunavyoshindwa kesi; tumeona mashaka ya wananchi kwenye mkataba; tumeona hata mkataba wenyewe tu unaamini kwamba ipo siku utavunjika au kuleta utata na ndio maana umewekewa kifungu cha...
Habari kutoka kwa Rafiki wa Karibu wa Marehem amenipa taarifa hizo Mh Jaji Zubeir Maulid alikuwa ni mwalimu na aliwahi kuwa Jaji na amewahi kushika nyadhifa mbalimbali Serikalini.
Jaji Zuberi...
Tunakumbushana tu
Ni Ole Sabaya ndiye Kesi zake zilifuata mfumo wa kimahakama na nyingine alishinda huku Moja akitiwa hatiani
Viongozi wa Chadema Kesi zao " ilidaiwa" ni za Kisiasa hivyo...
Leo 14/7/2023 katika mkutano wa Wahariri na Viongozi wa wizara mbali na kuambiwa mikataba itakayo fuata ya kibiashara itakuwa ni SIRI iki maanisha kuna uwezekano tusije jua Ukomo wala Mapato baada...
Hii mikoa 2025 Samia atapata upinzani mkubwa Sana. Nayo Ni
- Kilimanjaro
- Arusha
- Kagera
- Mwanza
- Iringa
- Mbeya
- Mara
- Shinyanga
- Geita
- Dar es Salaam
SSH anayo kazi kubwa Sana narudia...
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Masoud Othman ni muumini wa Serikali 3
Wale mnaoiimba Tanganyika muombeeni huyu Mwamba achaguliwe kuwa Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo baada ya Zitto Kabwe...
Baada ya kudodosa dodosa mikataba ya makampuni ambayo yamejikita katika uwekezaji wa Bandari, nimeona na nimejiridhisha kabisa kwamba, masharti ya Wachina kwa Bandari ya Bagamoyo, yalikuwa nafuu...
Wakili Mohamed Salum amesema mkataba wa Tanzania na DP World sio wa milele, utaisha pindi utekelezaji wa miradi utakapoisha.
Aidha, Tanzania haiwajibiki kumpa haki zote DP World kama inavyosemwa...
Waandishi wa habari acheni kulalamika; mnavuna mlichopanda. Thamani yenu imeshuka sana kwenye jamii na miongoni mwa watawala. Hakuna kazi mnayofanywa inayopendwa kwenye jamii.
Tumeruhusu nchi...
Mjue kabisa plan ya vyama vya upinzani ni ipi.
Ili mambo yawe sawa serikali hakikisheni mnarekebisha mambo yote yanayopigiwa kelele kwenye mkataba tena mfanye kimyakimya.
Tofauti na hapo tayari...
Akijibu maswali ya wadau kuhusu suala la Bandari kuwa la Muungano lakini mkataba wa DPW ni wa Tanzania Bara, msemaji wa TASAC amesema suala la bandari haliwezi kuendeshwa kimuungano...
Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma.
Hata kwa wenzake waliomtangulia...
Mh Mbunge Cecil David Mwambe, amefanya ziara kata ya Mpanyani na kushiriki Kikao Cha halmashauri kuu kata.
Mh Mbunge pia alipata nafasi ya kuwasalimia vijana Wa Shule ya Sekondari ya Mpanyani na...