Mikoa ambayo Rais Samia atapata upinzani mkubwa 2025

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Hii mikoa 2025 Samia atapata upinzani mkubwa Sana. Nayo Ni
  1. - Kilimanjaro
  2. - Arusha
  3. - Kagera
  4. - Mwanza
  5. - Iringa
  6. - Mbeya
  7. - Mara
  8. - Shinyanga
  9. - Geita
  10. - Dar es Salaam
SSH anayo kazi kubwa Sana narudia kubwa Sana kushawishi wakazi wa izo mikoa ili kumchagua. Lakini kazi itakuwa ngumu zaidi kwa mikoa ya Kanda ya Ziwa na Arusha na Kilimanjaro.

SSH Jipange
 
Kama uchaguzi utakuwa huru na Haki, ni kweli mikoa hiyo itampa tabu, lakini kwa Katiba hii ambayo imempa madaraka makubwa mno Rais wa nchi, anaweza akafanya kama ambavyo alifanya Mwendazake Katika uchaguzi wa 2020🥺
 
Hii mikoa 2025 Samia atapata upinzani mkubwa Sana. Nayo Ni

-Kilimanjaro

- Arusha

-Kagera


-mwanza

-Iringa

-Mbeya


-Mara


-Shinyanga


-Geita

-Dar es Salaam

SSH anayo kazi kubwa Sana narudia kubwa Sana kushawishi wakazi wa izo mikoa ili kumchagu. Lakini kazi itakuwa ngumu zaidi kwa mikoa ya Kanda ya ziwa na Arusha na Kilimanjaro.

SSH jipange
bahati mbaya, hiyo ndio mikoa yenye wapiga kura wengi. mama anatakiwa kuanza kujipanga tangu sasa, binafsi naona kama mbwai na iwe mbwai tu, natamani arudie tena 2025 apige hadi 2030 kama Mungu atamjalia. kwasababu nikilinganisha na awamu ya 5, naona sasaivi napata furaha na vipesa zaidi, tena vya halali wala si vya wizi. sasa kwenye maisha unahitaji nini kingine zaidi ya hicho toka serikalini?
 
Hii mikoa 2025 Samia atapata upinzani mkubwa Sana. Nayo Ni

-Kilimanjaro

- Arusha

-Kagera


-mwanza

-Iringa

-Mbeya


-Mara


-Shinyanga


-Geita

-Dar es Salaam

SSH anayo kazi kubwa Sana narudia kubwa Sana kushawishi wakazi wa izo mikoa ili kumchagu. Lakini kazi itakuwa ngumu zaidi kwa mikoa ya Kanda ya ziwa na Arusha na Kilimanjaro.

SSH jipange
Mie nadhani ungeweka mikoa yote Tanzania bara.
 
2025 kuna kazi kubwa sana, na wakati huohuo jumuiya ya kimataifa imetoa mimacho. .... na sisiemu hawatataka kuchafua nguo ambayo tayari wameshaifua.
 
Samia na ccm kwa ujumla hatutegemei vijikaratasi vya kupigia kura kubaki madarakani, hata msipompigia Samia nyie eleweni tu huyo ndo rais wenu mpaka 2030.
 
Back
Top Bottom