Watanzania tuendelee kukataa mikataba mibovu

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,803
Reaction score
13,034
Watanzania tuendelee kukataa mikataba mibovu na tumlaani atakayeingiza nchi kwenye mikataba mibovu kwa sababu wenye akili kama Hayati Magufuli wakiingia madarakani wakianza kuvunja mikataba mibovu huwa nchi inaingia kwenye gharama kubwa ya kulipia kesi na gharama za kuvunja hizo mikataba.

Tuwapige mawe wanaosapoti(machawa) na wanaoingiza nchi kwenye mikataba mibovu kama serikali hii ya sasa hivi.
 
Nchi inaingiziwa hasara kubwa!
Gharama zote anabebeshwa mwananchi.
 
Watanzania tuendelee kukataa mikataba mibovu na tumlaani atakayeingiza nchi kwenye mikataba mibovu kwa sababu wenye akili kama Hayati Magufuli wakiingia madarakani wakianza kuvunja mikataba mibovu huwa nchi inaingia kwenye gharama kubwa ya kulipia kesi na gharama za kuvunja hizo mikataba.

Tuwapige mawe wanaosapoti(machawa) na wanaoingiza nchi kwenye mikataba mibovu kama serikali hii ya sasa hivi.
Anayevunja ana nia njema kuliko aliyesaini.
 
Back
Top Bottom