Kata ya Mpanyani: Ziara ya Mbunge Jimbo la Ndanda - Mtwara

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
479
Mh Mbunge Cecil David Mwambe, amefanya ziara kata ya Mpanyani na kushiriki Kikao Cha halmashauri kuu kata.

Mh Mbunge pia alipata nafasi ya kuwasalimia vijana Wa Shule ya Sekondari ya Mpanyani na kuwakabidhi vifaa vya michezo.

Leo tarehe 18 July 2023, Mh Mwambe atafanya kukaguzi Wa Ujenzi Wa Madarasa S/M Mihima na kuongea na wananchi kuanzia saa 5 asubuhi Mpaka saa Saba na Baadae ufunguzi Rasmi Wa Mradi Wa Maji Nambawala na kuongea wananchi.View attachment 2691715View attachment 2691716View attachment 2691717
IMG_20230718_090144_897.jpg
 
Back
Top Bottom