Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 578
- 2,614
Wakili Mohamed Salum amesema mkataba wa Tanzania na DP World sio wa milele, utaisha pindi utekelezaji wa miradi utakapoisha.
Aidha, Tanzania haiwajibiki kumpa haki zote DP World kama inavyosemwa na watu kwa kuwa hakuna maneno yanayoilazimisha Serikali kufanya hivyo.
Amesema kama ingekuwa ni lazima, neno “Shall” lingetumika kwenye mkataba kitu ambacho hakijafanyika.
Mwanasheria Mohamed Salum yupo live kwenye Clubhouse ya Msemaji wa Serikali akijibu maswali ya wadau.