Othman Masoud(Makamu wa Rais Z’bar) atakapochaguliwa kuwa KC wa ACT Wazalendo baada ya Zitto kustaafu atasaidia kuileta Tanganyika

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,123
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Masoud Othman ni muumini wa Serikali 3

Wale mnaoiimba Tanganyika muombeeni huyu Mwamba achaguliwe kuwa Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo baada ya Zitto Kabwe kustaafu siku Zisizo nyingi sana zijazo yaani mapema 2024

OMO ndiye AG bora kabisa kuwahi kutokea ukiziweka Pamoja pande zote mbili za Muungano

Pia soma - Othman Masoud (Makamu wa Rais Z’bar): Hakuna Mkataba mbovu kama huu wa Muungano
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Masoud Othman ni muumini wa serikali 3

Wale mnaoiimba Tanganyika muombeeni huyu Mwamba achaguliwe kuwa Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo baada ya Zitto Kabwe kustaafu siku Zisizo nyingi sana zijazo yaani mapema 2024

OMO ndiye AG bora kabisa kuwahi kutokea ukiziweka Pamoja pande zote mbili za Muungano
Wacha umbea na mipashoj ya kike
 
Kama wakishupaza shingo kwenye suala la bandari likiendelea huu mwaka ndo utakuwa umetufungia 26/4 kuwa public holiday, wala hatutakuwa na haja ya kumsubiria huyo moo.
 
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar mh Masoud Othman ni muumini wa serikali 3

Wale mnaoiimba Tanganyika muombeeni huyu Mwamba achaguliwe kuwa Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo baada ya Zitto Kabwe kustaafu siku Zisizo nyingi sana zijazo yaani mapema 2024

OMO ndiye AG bora kabisa kuwahi kutokea ukiziweka Pamoja pande zote mbili za Muungano
Kwani nyinyi mnaojiita Watanganyika mnashindwa nini?

Zanzibar wao wansema zikibaki serikali mbili basi na utawala wa serikali uwe kila miaka 10, miaka 10 nchi iongozwe na Zanzibar, na miaka 10 Iongozwe na Tanzania bara. La sivyo ziwe serikali tatu.
 
Hakuna tofauti ya kuongozwa na Mzanzibari wala Mtanganyika kwa sababu chujio la Kanisa lipo Dodoma!
 
Back
Top Bottom