Rais kama Mtumishi wa Umma ana haki ya kupata mapumziko. Miaka miwili mfululizo bila likizo ni kawaida?

staloni

Member
Oct 30, 2010
34
44
Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma.

Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini tunahitaji uongozi uliotimamu kifikra na kimwili ili kuweza kupeleka mambo inavyotakiwa kwa kiasi cha kutosha.

Ni vigumu kuwa fiti kifikra na kimwili kwa mtu yeyote kwa kufanya kazi miaka miwili mfululizo bila kupumzika hata kama unahudumiwa kiasi gani. Na kwa kuzingatia ukubwa wa majukumu yake, ni vigumu kuamini kama binadamu wa kawaida anaweza kumudu na akaweza kutoa matokeo chanya katika majukumu yake.

Tumshauri huyu anaeratibu shughuli na ratiba za Mh. Rais akumbuke kumpa Mh. Rais likizo kwani ni haki yake kisheria na kwa mstakabali mzima wa Taifa na watu wake kwa ujumla.

Tunaweza kulaumu baadhi ya mambo yanavyokwenda bila kutambua kuwa, kuna mtu anafanyishwa kazi mpaka brain inashindwa kutoa maamuzi.
 
Kunaweza kuwa na ukweli fulani! Lakini Rais Samia ukimpa likizo anaenda kupumzikia nchi za watu! Utasikia yuko Dubai
 
Jamani kama sikosei kisheria mh. Rais kama mtumishi wa uma, anayo haki na stahili ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa uma.

Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili.

Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi hapa inchini tunahitaji uongozi uliotimamu kifikra na kimwili ili kuweza kupeleka mambo inavyotakiwa kwa kiasi cha kutosha.

Ni vigumu kuwa fiti kifikra na kimwili kwa mtu yeyote kwa kufanya kazi miaka miwili mfululizo bila kupumzika hata kama unahudumiwa kiasi gani.
Na kwa kuzingatia ukubwa wa majukumu yake, ni vigumu kuamini kama binadamu wa kawaida anaweza kumudu na akaweza kutoa matokeo chanya katika majukumu yake.
Tumshauri huyu anaeratibu shughuli na ratiba za mh. Rais akumbuke kumpa mh. Rais Likizo kwani ni haki yake kisheria na kwa mstakabali mzima kwa Taifa kwa na watu wake kwa ujumla.
Tunaweza kulaumu baadhi ya mambo yanavyokwenda bila kutambua kuwa kuna mtu anafanyishwa kazi mpaka brain inashindwa kutoa maamuzi.
Kwao Wapi ?
 
Rudi umesahau namba ya simu, hausikii? Ushaenda mbali mara hii? Si ulikuwa tu hapo nje mda huu
 
Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma.

Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini tunahitaji uongozi uliotimamu kifikra na kimwili ili kuweza kupeleka mambo inavyotakiwa kwa kiasi cha kutosha.

Ni vigumu kuwa fiti kifikra na kimwili kwa mtu yeyote kwa kufanya kazi miaka miwili mfululizo bila kupumzika hata kama unahudumiwa kiasi gani. Na kwa kuzingatia ukubwa wa majukumu yake, ni vigumu kuamini kama binadamu wa kawaida anaweza kumudu na akaweza kutoa matokeo chanya katika majukumu yake.

Tumshauri huyu anaeratibu shughuli na ratiba za Mh. Rais akumbuke kumpa Mh. Rais likizo kwani ni haki yake kisheria na kwa mstakabali mzima wa Taifa na watu wake kwa ujumla.

Tunaweza kulaumu baadhi ya mambo yanavyokwenda bila kutambua kuwa, kuna mtu anafanyishwa kazi mpaka brain inashindwa kutoa maamuzi.
Kwa kazi kubwa anayofanya?
Ushaambiwa remote iko msoga.
 
Tunaweza kulaumu baadhi ya mambo yanavyokwenda bila kutambua kuwa, kuna mtu anafanyishwa kazi mpaka braiinashindwa kutoa maamuzi.
Acha mama apige kazi
 
Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma.

Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini tunahitaji uongozi uliotimamu kifikra na kimwili ili kuweza kupeleka mambo inavyotakiwa kwa kiasi cha kutosha.

Ni vigumu kuwa fiti kifikra na kimwili kwa mtu yeyote kwa kufanya kazi miaka miwili mfululizo bila kupumzika hata kama unahudumiwa kiasi gani. Na kwa kuzingatia ukubwa wa majukumu yake, ni vigumu kuamini kama binadamu wa kawaida anaweza kumudu na akaweza kutoa matokeo chanya katika majukumu yake.

Tumshauri huyu anaeratibu shughuli na ratiba za Mh. Rais akumbuke kumpa Mh. Rais likizo kwani ni haki yake kisheria na kwa mstakabali mzima wa Taifa na watu wake kwa ujumla.

Tunaweza kulaumu baadhi ya mambo yanavyokwenda bila kutambua kuwa, kuna mtu anafanyishwa kazi mpaka brain inashindwa kutoa maamuzi.
Wanapumzika wanaofanya kazi sasa mtu asiyefanya kazi anapumzika ili iweje wakati kila siku kwake ni mapumziko?
 
Jamani kama sikosei kisheria Mh. Rais kama mtumishi wa umma, anayo haki na stahiki ya kwenda likizo ya mwezi kila mwaka kama ilivyo kwa watumishi wote wa umma.

Hata kwa wenzake waliomtangulia walienda likizo mara kwa mara na sote tulifahamu hili. Kwa jinsi mambo yalivyo mengi sasa hivi nchini tunahitaji uongozi uliotimamu kifikra na kimwili ili kuweza kupeleka mambo inavyotakiwa kwa kiasi cha kutosha.

Ni vigumu kuwa fiti kifikra na kimwili kwa mtu yeyote kwa kufanya kazi miaka miwili mfululizo bila kupumzika hata kama unahudumiwa kiasi gani. Na kwa kuzingatia ukubwa wa majukumu yake, ni vigumu kuamini kama binadamu wa kawaida anaweza kumudu na akaweza kutoa matokeo chanya katika majukumu yake.

Tumshauri huyu anaeratibu shughuli na ratiba za Mh. Rais akumbuke kumpa Mh. Rais likizo kwani ni haki yake kisheria na kwa mstakabali mzima wa Taifa na watu wake kwa ujumla.

Tunaweza kulaumu baadhi ya mambo yanavyokwenda bila kutambua kuwa, kuna mtu anafanyishwa kazi mpaka brain inashindwa kutoa maamuzi.
Alafu wapambe kama nyinyi inatakiwa tuwanyonge juani saa SITA mchana. Mnamponza sana raisi
 
Back
Top Bottom