Mtandao wa TIGO Mbona huu ni kama wizi wa mchana kweupe

Ti Go

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
880
844
Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo.

Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha.

Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani (sikumbuki) wanipa namba ya kujitoa, hakuna kitu.

Wala hii si kwangu tu, kuna wengi tu nilioongea nao Wana tatizo kama Hilo.

Sasa niwaombe mtandao wa TIGO watueleze kuna nini, au tufunge line zao?
 
Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo. Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha. Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani (sikumbuki) wanipa namba ya kujitoa, hakuna kitu.
Wala hii si kwangu tu, kuna wengi tu nilioongea nao Wana tatizo kama Hilo.
Sasa niwaombe mtandao wa TIGO watueleze kuna nini, au tufunge line zao?
Wana tabia siku hizi wanatumia meseji wanakutegeshea kuriplai. Ukiriplai tu, hata kwa kuandika "1" umeyakanyaga 😀
 
Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani (sikumbuki) wanipa namba ya kujitoa, hakuna kitu.
Wala hii si kwangu tu, kuna wengi tu nilioongea nao Wana tatizo kama Hilo.
Niliwahi kukutana na hiyo kadhia pia, ukiwapigia customer care hawalitatui hilo tatizo kwakuwa ni income generation kwao, niligundua wanafanya mitego kwenye kujiunga vifurushi kwa mfano kama umezoea kujiunga na kifurushi fulani kwa kubonyeza namba basi kuna wakati wanapandikiza kitu kingine kwenye kile kifurushi unajikuta umekumbwa na hilo janga bila kujijua
 
Wa Kutegeshea kwenye reply. Sio poa yani hiyo reply Haina bonyeza moja kukukbali na mbili kukataa. Hiyo ukibonyeza hata reli ushakubali hiyoo.. mperampera
 
Unakuta reply namba 2 imehamishiwa 4 au 1 kwakuwa huwa hatusomi tunajibu kimazoea unajikuta umebonyeza chaka
 
Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo.

Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha.

Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani (sikumbuki) wanipa namba ya kujitoa, hakuna kitu.

Wala hii si kwangu tu, kuna wengi tu nilioongea nao Wana tatizo kama Hilo.

Sasa niwaombe mtandao wa TIGO watueleze kuna nini, au tufunge line zao?
Wezi Sana hao jamaa
 
Kwa majibu haya wajue wanajizika wenyewe. Nasubiri majibu Yao.
 
Mitandao yote ina huo ujinga.Wanakuunganisha kwenye huduma za kipuuzi alafu wanakwambia ujitoe,alafu ukipiga hiyo namba ya kujitoa ndo unajiunga sasa kwenye huo ujinga.Wengine wanakutumia meseji yakujiunga ujinga fulani alafu wanakutumia namba yakujitoa ambayo haifanyi kazi.na ukipiga customer care simu haipokelewi.Wanafanya mambo utafikiri nchi mamlaka zimefariki.
 
Back
Top Bottom