Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,075
Tangu Tundu Lissu tangu arudi nchini hii nadhani itakuwa ni mara ya pili sasa kuondoka tena nchini bila kusema sababu yoyote hali hii sidhani kama inaleta afya kwa chama chake ukizingatia TL ni kiongozi ambaye uchaguzi uliopita aliwania nafasi ya juu kabisa ya urais.
Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani.
Maoni yangu ni vyema awe anatoa taarifa kwa wanachama pale anaposafiri kwenda nje ya nchi ili watu wawe wanajua anasafari kwa dhumuni gani.