mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,098
- 9,994
September 15 mwaka 2010
Mwanabodi Pascal Mayalla walikutana na mchungaji mtikila ambaye alimuhadithia mazingira ya kifo chake yatakavyo kuwa na muhusika na detail zote. Mtikila alirekodi audio ya matukio haya na aliripoti hata polisi kutoa taarifa. Naomba niweke hapa uzi huo ili ujisomee mwenyewe kabla haujafutwa kwa maagizo kutoka juu.
Miaka mitano mbeleni mchungaji huyu akauliwa katika tukio ambalo alishalitaadhalisha hapo kabla.
Nimesoma uzi huu wa mwanabodi nikashindwa cha kucomment. Taifa hili tunaliendekeza sana. Tumepoteza wanasiasa mahili kutoka ludewa kama kolimba, filikunjombe na mtikila na kutoka sehemu mbalimbali kama sokoinena Dr Omar Ali Juma achilia mbali vibopa wakubwa wa nchi kuna uwezekano waliuliwa katika matukio ya kisenge kama hili.
Wenzetu Korea wameendeleea kwakuwa wakali sana kwenye uvunjaji wa sheria. Lakini nchini kwetu tukio kama hili linaachwa tuu lipite.
Ninaagiza uchunguzi huru!
Kifo cha Mchungaji Mtikila
AHSANTE
Mwanabodi Pascal Mayalla walikutana na mchungaji mtikila ambaye alimuhadithia mazingira ya kifo chake yatakavyo kuwa na muhusika na detail zote. Mtikila alirekodi audio ya matukio haya na aliripoti hata polisi kutoa taarifa. Naomba niweke hapa uzi huo ili ujisomee mwenyewe kabla haujafutwa kwa maagizo kutoka juu.
Uso kwa Uso na Mtikila- Akataa Hongo ya Millioni 100!
Wanabodi, Katika pita pita zangu mchana wa leo jijini Dar es Salaam, nimekutana na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila katika ofisi fulani muhimu sana ya umma, yeye kaja na yake, na mimi nimekwenda na yangu, hivyo tukaa waiting room pamoja facing each other, tunaangaliana...
www.jamiiforums.com