PPRA: Taasisi 12 a Umma zaisanabishia Serikali hasara ya Bil.8.7 kutokana na manunuzi yasiyofuata taratibu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,811
My Take
Ni vyema Serikali ikachukua hatua Kwa wakuu wa taasisi hizi zikizotajwa.

---
Ripoti ya ukaguzi na uchunguzi iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imebainisha kuwa Serikali imepata hasara ya jumla ya TZS bilioni 8.77 kutokana na ukosefu wa uwajibikaji, ufanisi, uwazi na uadilifu kwenye taasisi 12 zilizochunguzwa.

Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande akizungumza mara baada ya kupokea ripoti ya Tathmini ya Utendaji ya PPRA kwa mwaka wa Fedha 2022/23 iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi PPRA, Dkt. Leonada Mwagike ameziagiza mamlaka husika ikiwemo TAKUKURU kuzichukulia hatua stahiki taasisi zote zilizokiuka sheria, kanuni, na miongozo iliyowekwa.

Katika ripoti hiyo, Dkt. Mwagike amesema mamlaka ilifanya ukaguzi kwa taasisi nunuzi 180 ukihusisha wizara, idara za serikali zinazojitegemea, wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa pamoja na mashirika ya umma.

“Kati ya taasisi nunuzi 180 zilizokaguliwa, taasisi 28 zilikuwa na matokeo ya kuridhisha, taasisi 109 zilikuwa na matokeo ya wastani na taasisi 43 zilikuwa na matokeo hafifu. Kati ya taasisi hizo 43, taasisi 28 zilikuwa kwenye kundi la Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, taasisi 8 zilikuwa kundi la mashirika ya umma na tasisi 7 kwenye kundi la wizara, idara za serikali zinazojitegemea na wakala za Serikali,” amesema.

View: https://www.instagram.com/p/CxxpvYhtkRM/?igshid=MTc4MmM1YmI2Ng==
 
Hao PPRA ndiyo wanaleta utaratibu zinazoisababishia serikali hasara ili tu watu wapate ulaji.
Mfano. Kampuni A inakwenda kununua vifaa Y kiwandani alafu inaiuzia taasisi ya serikali na wao wanapata faida, lakini Taasisi ya serikali ikienda kununua kiwandani moja kwa moja kwa bei pungufu ya iliyoletwa na Kampuni A...then hao wakaguzi wanasema umenunua kinyume na utaratibu.
Taratibu za kiserikali zinawekwa ili kuipa baadhi ya watu ulaji.
 
Fact sheria na taratibu za manunuzi ndizo zina milolongo isiyo na maana badala ya kuleta unafuu kinyume chake inaleta maumivu kwa serikali.
 
Wana utaratibu za ajabu mpaka unaulizia hivi aliezitunga walikuwa wazima kichwani kweli?
Mfano.
Taasisi inatangaza tenda kwa ajili ya kununua mataili ya gari, vifaa vya umeme kwa ajili ya ukarabati mdogo, vifaa vya mabomba ya maji kwa ajili ya ukarabati mdogo wa ofisi na makazi ya viongozi wake, vifaa vya ofisini (stationary), vifaa vya usafi n.k alafu wanazuiwa na sheria kwa kwenda moja kwa moja kwenye source kununua vitu hivi bali anaachiwa kampuni flani ya kufanya supplies wakati anakwenda kuokoteza sehemu mbalimbali kwani utakuta wenda ni kampuni iliyojikita zaidi kwenye kuuza vifaa vya stationary.
 
My Take
Ni vyema Serikali ikachukua hatua Kwa wakuu wa taasisi hizi zikizotajwa.

---
Ripoti ya ukaguzi na uchunguzi iliyotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) imebainisha kuwa Serikali imepata hasara ya jumla ya TZS bilioni 8.77 kutokana na ukosefu wa uwajibikaji, ufanisi, uwazi na uadilifu kwenye taasisi 12 zilizochunguzwa.

Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande akizungumza mara baada ya kupokea ripoti ya Tathmini ya Utendaji ya PPRA kwa mwaka wa Fedha 2022/23 iliyowasilishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi PPRA, Dkt. Leonada Mwagike ameziagiza mamlaka husika ikiwemo TAKUKURU kuzichukulia hatua stahiki taasisi zote zilizokiuka sheria, kanuni, na miongozo iliyowekwa.

Katika ripoti hiyo, Dkt. Mwagike amesema mamlaka ilifanya ukaguzi kwa taasisi nunuzi 180 ukihusisha wizara, idara za serikali zinazojitegemea, wakala za Serikali, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa pamoja na mashirika ya umma.

“Kati ya taasisi nunuzi 180 zilizokaguliwa, taasisi 28 zilikuwa na matokeo ya kuridhisha, taasisi 109 zilikuwa na matokeo ya wastani na taasisi 43 zilikuwa na matokeo hafifu. Kati ya taasisi hizo 43, taasisi 28 zilikuwa kwenye kundi la Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, taasisi 8 zilikuwa kundi la mashirika ya umma na tasisi 7 kwenye kundi la wizara, idara za serikali zinazojitegemea na wakala za Serikali,” amesema.
Mbona hawaja wataja wahusika wenyewe tuwajue.
 
Usiwategemee TAKUKURU kwenye hilo, hawawezi kufanyia kazi ripoti hiyo ya PPRA mpaka watumwe na viongozi wakubwa wa nchi. Wako tayari kukomaa na uchunguzi na kufikisha Mahakamani vikesi ambavyo hata wenyewe wanajuwa ni vya UWONGO kwa sababu tu wametumwa na viongozi

Kimsingi kati ya Taasisi za HOVYO zilizoundwa nchini na ambazo watu wanalipwa mishahara bila kazi mojawapo ni TAKUKURU.

Pamoja na mapungufu ya POLISI kwa baadhi ya matukio kama ya akina Mwangosi, Chugumbi, yule mahabusu aliyekufa Mtwara nankushambuliwa kwa Lissu lakini wanatekeleza majukumu yao vuzuri kwa 90%.

Kwa mtazamo wangu, tunaweza kuifuta TAKUKURU na kubaki na Polisi na nchi ikaenda vizuri tu. Ila hatuwezi kuifuta Polisi.

Katiba Mpya tunayoitaka lazima iangalie sana chombo hiki cha TAKUKURU ikibidi kukifuta tu
 
Back
Top Bottom