Je, Magufuli alikuwa anamuandaa Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Rais wa Tanzania?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Nauliza tu kwa wachambuzi wa Siasa iwapo Shujaa Magufuli alikuwa anamuandaa Dr Mwigulu Nchemba PhD kuwa mrithi wake

Mwigulu Nchemba aliapichiwa Ikulu ya Chato kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 Wasaidizi wa Dr Mwigulu kuanzia alipokuwa Naibu Katibu mkuu wa CCM walishinda Ubunge na sasa wako na Waziri wa fedha kana kwamba ni wale thenashara

Je, Mwigulu Ndiye ajaye?

cc: Pascal Mayalla
 
Inasemekana!cheo cha waziri wa fedha ndio cheo pekee cha juu atakachopata!hizo NYINGINE ni mahangaiko tu ya wanadamu kama kawaida yao kuto ridhika!!

Mungu ibariki Tanzania nchi YETU niipendayo sana!!
 
Nauliza tu kwa wachambuzi wa Siasa iwapo Shujaa Magufuli alikuwa anamuandaa Dr Mwigulu Nchemba PhD kuwa mrithi wake

Mwigulu Nchemba aliapichiwa Ikulu ya Chato kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 Wasaidizi wa Dr Mwigulu kuanzia alipokuwa Naibu Katibu mkuu wa CCM walishinda Ubunge na sasa wako na Waziri wa fedha kana kwamba ni wale thenashara

Je, Mwigulu Ndiye ajaye?

cc: Pascal Mayalla

Rais huandaliwa na Mungu na kama nafasi yake ipo atakua Rais tu hata baada ya Magufuli kufariki

Binafsi siamini hilo zaidi ya ninavyo amini utendaji wake Mwigulu Nchemba , Ana nguvu , uwezo , Misimamo ya kiuongozi , kuthubutu na mvuto na kujiamini .

Kingine kikubwa moyo wa upendo kujali wengine hayo ndiyo yanayoonekana kana kwamba kila kiongozi anayemteua aonekane ana muandaa kuja kuwa Rais

Kikibwa sifa anazo labda hilo ndilo kubwa kwake by the way kwa nafasi alizotumikia anaifahamu nchi . Ikifika wakati wa bwana HE CAN BE OUR NEXT P
 
Wewe ndio mwigulu mwenyewe
 
Kumbe ulianzia huku ukaona haitoshi umekuja na threa kbsa
 
Nauliza tu kwa wachambuzi wa Siasa iwapo Shujaa Magufuli alikuwa anamuandaa Dr Mwigulu Nchemba PhD kuwa mrithi wake

Mwigulu Nchemba aliapichiwa Ikulu ya Chato kuwa Waziri wa Katiba na Sheria

Katika Uchaguzi mkuu wa 2020 Wasaidizi wa Dr Mwigulu kuanzia alipokuwa Naibu Katibu mkuu wa CCM walishinda Ubunge na sasa wako na Waziri wa fedha kana kwamba ni wale thenashara

Je, Mwigulu Ndiye ajaye?

cc: Pascal Mayalla
JPM hakuwa anamuandaa mtu yeyote isipokuwa yeye tu. Ukitizama mienendo yake wakati ule, ilikuwa dhahiri alikuwa anandaa Mikakati wa kubadili katiba haswa kipengele cha mihula ya utawala.

Zingatia yafuatayo:

1. Kauli ya Ali kesy wa Nkasi bungeni,

2. Mpango wa Juma Nkamia kupeleka hoja ya kuongeza muda wa JPM kutawala.

3. Kauli ya Ndugai ya apende asipende tutamuongezea muda,

4. Kauli ya Bashriru kuhusu dola, na uteuzi wake kuwa Katibu mkuu kiongozi

5. Mwaliko wa ndugu Maalimu Seifu Chato baada ya uchaguzi.

6. Aina na namna wabunge waliopo bungeni walivyopatikana,

7. Mazingira na timing ya Kifo cha Mkapa,

8. kutanua wigo wa Kinga ya kutoshtakiwa kwa Makamo wa rais, Jaji mkuu, Spika na waziri mkuu.

9. Kauli ya JPM kuhusu kukamilisha miradi ya wakati wake.

Ni Mungu tu aliingilia kati!
 
Rais huandaliwa na Mungu na kama nafasi yake ipo atakua Rais tu hata baada ya Magufuli kufariki

Binafsi siamini hilo zaidi ya ninavyo amini utendaji wake Mwigulu Nchemba , Ana nguvu , uwezo , Misimamo ya kiuongozi , kuthubutu na mvuto na kujiamini .

Kingine kikubwa moyo wa upendo kujali wengine hayo ndiyo yanayoonekana kana kwamba kila kiongozi anayemteua aonekane ana muandaa kuja kuwa Rais

Kikibwa sifa anazo labda hilo ndilo kubwa kwake by the way kwa nafasi alizotumikia anaifahamu nchi . Ikifika wakati wa bwana HE CAN BE OUR NEXT P
Esther unapambania ufirst lady kwa nguvu sana
 
Back
Top Bottom