Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,900
- 944
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko akiwa ziarani Mkoa wa Geita alimuelezea Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu kama mmoja wa wasomi wakubwa na mahesabu na mbobevu katika uchumi.
"Tukiwa Bungeni, Mhe. Spika aliunda Kamati mbili za uchunguzi. Subira Mgalu akawa Mwenyekiti wangu wa Kamati. Huyu ni msomi wa mahesabu, ni mchumi mzuri, ana CPA hapo unapomuona, yuko hivi hivi mpole mnvyomuona anapiga magoti" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
"Subira Mgalu, alikuwa Naibu Waziri wa Nishati, alikuja hadi Bukombe kutuwashia Vijiji na alifanya kazi na Kalemani. Sasa hivi ni Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Wanawake Tanzania na ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani: Bungeni, Wabunge wote Wanawake yeye ndiye Katibu wao" - Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
"Subira Mgalu nilifanya naye kazi. Kabla sijateuliwa kuwa Naibu Waziri nilikuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini. Hawa wote walinipokea Bungeni na Mama Chatanda wakanifundisha na namna ya kukaa Bungeni" - Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
"Huyu, Mhe. Subira Mgalu, Mhe. Spika akaunda Kamati Maalum, moja nikafanywa kuwa Mwenyekiti na Mjumbe wangu akawa Mgalu. Mgalu ni bingwa wa mahesabu, mchumi aliyebobea na kwenye Kamati yetu tukawa tunamuita CAG, alinisaidia sana" - Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
"Baada ya ile kazi ya Kamati tulivyomaliza tu, Oktoba 2017 Mhe. Mgalu akateuliwa kuwa Naibu Waziri kwasababu kipaji chake kinaonekana. Mama Chatanda sikushangaa kumchukua kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji kwasababu ya uwezo mzuri, ana uwezo wa kuunganisha watu" - Mhe. Dkt. Dotto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati.