Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi. Kelele zote za upotoshaji kwenye uwekezaji Bandarini zimeishia wapi?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi kelele zote zile za upotoshaji kuhusu uwekezaji bandarini zimeyeyuka kama mvuke!

Wadau hamjamboni nyote?

Sisi wazoefu tulijua kuwa:

Wenzetu wale wataishiwa pumzi mapemaa
Ngoma ya watoto haikeshi hata siku moja
Uongo una desturi ya kujitenga na ukwel
Kelele za chura hazina athari yeyote kwa yaliyo mema
Lengo lao ni kuichafua Serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi, familia zao pamoja na wale waliowatuma
Wenzetu wao siku zote hawana sera bali ni watu wa matukio tu.

Hatimaye mbivu na mbichi zimeonekana pongezi kwa Serikali kuelimisha vema WATANZANIA kuhusu uwekezaji bandarini.

Pongezi Watanzania kwa kukataa kabisa upotoshaji wa wale waliokosa Uzalendo kwa nchi yao

KaziIendelee

Tunatekeleza kwa vitendo

Uwekezaji bandarini kwa faida yetu sote

Tunasubiri mje na uzushi mingine tutawajibi ipasavyo!
 
Hata mimi nimeshangaa imekuwaje swala la bandari limezima ghafla?

Mbona saizi bandari haipo kabisa kwenye mjadala au ndio kusema serikali imesikia kelele za wananchi na kuzifanyia kazi?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Niwapongeze Watanzania kwa kuielewa na kukubali Serikali ya CCM kuhusu faida za uwekezaji bandarini na kwa kukataa upotoshaji wa wale wenzetu.

Sisi wazoefu tulijua tu kuwa wataishiwa pumzi mapemaa.

Tulijua tu kuwa ngoma ya watoto haikeshi hata siku moja.

Tulijua tu kuwa uongo Huwa unajitenga na ukweli mwishoni.

Tulijua tu kelele za chura hazizuii chochote.

Tulijua tu lengo leo ni kuichafua Serikali ya CCM kwa maslahi yao na waliowatuma.

Tulijua tu kuwa wenzetu ni wakudandia matukio tu ya kila siku badala ya kuuza sera zao.

Nàam hatimaye mbivu na mbichi zimejulikana labda mje na jingine kama ilivyo desturi yenu.

Niipongeze Serikali kwa kuwaelimisha Watanzania kuhusu uwekezaji huo bandarini.

Kazi iendelee

Tunasubiri mje na jingine tutawajibi ipasavyo!
Mkuu Acha ndoto za mchana au umekula kitu cha arachuga?
 
Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi kelele zote zile za upotoshaji kuhusu uwekezaji bandarini zimeyeyuka kama mvuke!

Wadau hamjamboni nyote?

Sisi wazoefu tulijua kuwa:

•Wenzetu wale wataishiwa pumzi mapemaa
•Ngoma ya watoto haikeshi hata siku moja
•Uongo una desturi ya kujitenga na ukwel
•elele za chura hazina athari yeyote kwa yaliyo mema
•Lengo lao ni kuichafua Serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi, familia zao pamoja na wale waliowatuma
•Wenzetu wao siku zote hawana sera bali ni watu wa matukio tu.

Hatimaye mbivu na mbichi zimeonekana pongezi kwa Serikali kuelimisha vema WATANZANIA kuhusu uwekezaji bandarini
Pongezi Watanzania kukayaa upotoshaji wa waliokosa Uzalendo kwa nchi yao

KaziIendelee
Tunatekeleza kwa vitendo
Uwekezaji bandarini kwa faida yetu sote

Tunasubiri mje na uzushi mingine tutawajibi ipasavyo!
Bandari ni rasilimali ya Taifa......hakuna Mwarabu kutia mguu pale. Hii imeenda... :)
 
Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi kelele zote zile za upotoshaji kuhusu uwekezaji bandarini zimeyeyuka kama mvuke!

Wadau hamjamboni nyote?

Sisi wazoefu tulijua kuwa:

Wenzetu wale wataishiwa pumzi mapemaa
Ngoma ya watoto haikeshi hata siku moja
Uongo una desturi ya kujitenga na ukwel
Kelele za chura hazina athari yeyote kwa yaliyo mema
Lengo lao ni kuichafua Serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi, familia zao pamoja na wale waliowatuma
Wenzetu wao siku zote hawana sera bali ni watu wa matukio tu.

Hatimaye mbivu na mbichi zimeonekana pongezi kwa Serikali kuelimisha vema WATANZANIA kuhusu uwekezaji bandarini.

Pongezi Watanzania kwa kukataa kabisa upotoshaji wa wale waliokosa Uzalendo kwa nchi yao

KaziIendelee

Tunatekeleza kwa vitendo

Uwekezaji bandarini kwa faida yetu sote

Tunasubiri mje na uzushi mingine tutawajibi ipasavyo!
Waulize walioukubali na kuupitisha. Mbona hawasemi lolote huku tunasikia TPA wakitangaza kutaka waendeshaji! Imekaaje hii??
Nchi inaendeshwa ka trakta mbovu!
 
Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi kelele zote zile za upotoshaji kuhusu uwekezaji bandarini zimeyeyuka kama mvuke!

Wadau hamjamboni nyote?

Sisi wazoefu tulijua kuwa:

Wenzetu wale wataishiwa pumzi mapemaa
Ngoma ya watoto haikeshi hata siku moja
Uongo una desturi ya kujitenga na ukwel
Kelele za chura hazina athari yeyote kwa yaliyo mema
Lengo lao ni kuichafua Serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi, familia zao pamoja na wale waliowatuma
Wenzetu wao siku zote hawana sera bali ni watu wa matukio tu.

Hatimaye mbivu na mbichi zimeonekana pongezi kwa Serikali kuelimisha vema WATANZANIA kuhusu uwekezaji bandarini.

Pongezi Watanzania kwa kukataa kabisa upotoshaji wa wale waliokosa Uzalendo kwa nchi yao

KaziIendelee

Tunatekeleza kwa vitendo

Uwekezaji bandarini kwa faida yetu sote

Tunasubiri mje na uzushi mingine tutawajibi ipasavyo!
Unahamu sanaee na mtanangee 😜

Labda wameenda retreats kwaajili ya tathmini ya round ya kwanza na mapumziko kidogo.

labda wanajikusanya tena mafekeche, haya masuala ni garama sana aise. usije ukasinzia utakwenda na maji.
usimdharau wala usimpuuze opponent wako kwa namna yeyote ile you never know atakujaje. this is politics.
 
Wake TU twawasubiri
 
Hata mimi nimeshangaa imekuwaje swala la bandari limezima ghafla?

Mbona saizi bandari haipo kabisa kwenye mjadala au ndio kusema serikali imesikia kelele za wananchi na kuzifanyia kazi?
😳
 
Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi kelele zote zile za upotoshaji kuhusu uwekezaji bandarini zimeyeyuka kama mvuke!

Wadau hamjamboni nyote?

Sisi wazoefu tulijua kuwa:

Wenzetu wale wataishiwa pumzi mapemaa
Ngoma ya watoto haikeshi hata siku moja
Uongo una desturi ya kujitenga na ukwel
Kelele za chura hazina athari yeyote kwa yaliyo mema
Lengo lao ni kuichafua Serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi, familia zao pamoja na wale waliowatuma
Wenzetu wao siku zote hawana sera bali ni watu wa matukio tu.

Hatimaye mbivu na mbichi zimeonekana pongezi kwa Serikali kuelimisha vema WATANZANIA kuhusu uwekezaji bandarini.

Pongezi Watanzania kwa kukataa kabisa upotoshaji wa wale waliokosa Uzalendo kwa nchi yao

KaziIendelee

Tunatekeleza kwa vitendo

Uwekezaji bandarini kwa faida yetu sote

Tunasubiri mje na uzushi mingine tutawajibi ipasavyo!
Humu yamebaki masalia tu lkn mpotoshaji mkuu ashakimbilia Ulaya kutafuna fedha za michango alizowachangisha wajinga.
 
Back
Top Bottom