johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,992
- 142,010
Wengi wamempinga Wakili msomi Mwabukusi kwa kauli yake ya Ukweli kabisa kwamba vyama vya Upinzani haviwezi kuleta Katiba mpya.
Mfano Mzuri ni Kinara wa Katiba Mpya upande wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye Hata haijulikani anaishi Tanzania, Ubelgiji au Marekani.
Ukimtegemea Lissu Kuongoza harakati za Katiba mpya ni kujidanganya tu kwa sababu Mazingira Yako wazi kabisa.
Bora Hata Mdude wa Hapa Hapa
Nawatakia Dominica Njema 😀