Mbowe amtumia Pongezi za dhati Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Mwenyekiti wa Chadema, mheshimiwa Mbowe, amemtumia salamu za pongezi Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa baada ya kusimikwa rasmi kuwa kardinali.

Mbowe amesema taifa la Tanzania litautegemea sana uzoefu mkubwa alionao katika kuwaongoza watu kiroho na kimwili duniani kote.

Kanisa Moja Takatifu la Mitume. 😃
 
Kura zinatafutwa, mara Watoto watumwe, mara salamu! Uzuri yeye hataki kuwa na upande kama alivyokuwa Pengo. Kwake Tanzania kwanza, siasa baadaye
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amemtumia Salamu za Pongezi Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa baada ya kusimikwa Rasmi kuwa Kardinali

Mbowe amesema Taifa la Tanzania litautegemea sana uzoefu mkubwa alionao katika kuwaongoza Watu Kiroho na Kimwili duniani kote

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
Kwahiyo ujinga wako unakuaminisha Mbowe haruhusiwi kumpongeza mtu yoyote hata mkeo akijifungua!
Mbowe ni Mbowe na Chadema ni Chadema, Mbowe anazo faragha zake binafsi na ni lazima ziheshimiwe kama wewe utakavyo faragha zako tuziheshimu.
 
Back
Top Bottom