Moto wa nguvu kuwaka mkoani Mbeya. Tegeni Masikio mtasikia mlio wake

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,349
9,778
Ndugu zangu Watanzania,

Ni moto ,ni moto ,Ni moto Unakwenda kuwaka mkoani Mbeya ,Ni moto utakao litikisa jiji la Mbeya,Ni moto utakao lisimamamisha jiji na mkoa wa Mbeya. Ni matumbo joto ,Ni Roho juu juu ,Ni presha juu,Ni majuto juu ,ni machozi juu kwa watumishi waliokiuka viapo vyao ,kuvisaliti na kuvisigina chini kwa kuamua kutumia fedha za umma kwa kuneemesha Matumbo Yao.

Rais Samia Alishasema ,alishaweka wazi ,alishaongea Hadharani na kutamka waziwazi kuwa ukitaka kujuwa Rangi yake basi wewe Gusa pesa za umma. Sasa kuna vichwa ngumu wakaona kuwa wao ni wajanja,wajuaji, watoto wa mjini wamegusa pesa za umma kwa maslahi yao binafsi,wamegusa na kuchezea jasho la Watanzania wanyonge kwa manufaa ya matumbo yao,Wamegusa mboni ya Rais Samia.Sasa watakiona cha moto ,wataona ghadhabu na hasira za Rais Samia juu ya pesa za umma,wanakwenda kukutana na mkono mkali wa Sheria juu ya matendo yao ya kuumiza juhudi za wananchi wanaohangaika kutwa nzima kutafuta pesa huku wakivuja jasho Juani.

Rais Samia Amezungumza kwa uchungu mkubwa sana uliyogusa hisia za watu wengi sana walioumia na kuudhika sana juu ya ubadhirifu huo na michezo michafu iliyofanywa na wale waliopewa dhamana ya kusimamia fedha za umma. Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wameonyesha kukasirishwa sana na Vitendo hivyo vilivyobainishwa na kuwekwa hadharani na Amiri Jeshi mkuu wetu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

Ni aibu kwa mtumishi wa umma kufanya uharamia wa namna hiyo wakati kuna watanzania wanahangaika kutwa nzima ili walipe kodi,wasomeshe watoto,walipe kodi za nyumba,.wengine ni wajane na wengine ni yatima na wengine ni wazee lakini wanashinda Juani wakipambana kujipatia fedha na kulipa kodi na Tozo au ushuru mbalimbali ili mwisho wa siku zirudishwe na serikali yao kwa njia ya huduma kama zahanati au vituo vya Afya au shule au maji safi na salama au umeme, halafu wanatokea watu bila aibu wala haya wala soni wanafuja fedha bila aibu wala huruma?

Hivi hii siyo dhambi kweli? Siyo laana kweli? Mtu unapokea mshahara na marupurupu mengine halafu unakula hadi hela ya mjane? Yatima? Mzee? Inaingia akilini hii kweli? Mali na pesa hizo za wizi nani atazikwa nazo? Nani kasema kaburini kuna matumizi na vitu vya kununua? Nani anaondoka navyo? Kwanini mtu usiridhike na mshahara wako uupatao kwa njia halali au ufungue shughuli halali itakayo kupatia kipato Halali nje ya mshahara wako?

Hivi watumishi wa umma wa namna hii hawaoni huruma kwa namna mh Rais anavyohangaika kutafuta fedha kwa ajili ya watanzania? Hawaoni namna mh Rais anavyohangaika huku na kule kutafuta senti moja moja ili watu wakienda hospitalini wakute madawa,vifaa tiba pamoja na wahudumu wa afya? Hawaoni na kuwa na huruma Rais anavyotafuta fedha kila mahali katika Dunia Hii ili watoto wa maskini nao wapate Elimu bure kuanzia la kwanza hadi kidato cha sita pamoja na kupewa mikopo ya Elimu ya juu katika kutimiza ndoto zao?

Hawaoni huruma kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu ambao wengine wanabeba hadi zege kupandisha magorofani ili wapate mitaji? Kwanini wao wasilizike na kushukuru kwa kupata nafasi walizonazo kwa sasa ndani ya serikali? Kwanini watanzania Tusiwe waaminifu na waadilifu tuwapo katika ofisi za umma? Kwanini Tusijuwe utumishi ni kwa ajili ya kuwatumikia watu na siyo matumbo yetu Binafsi? Kwanini tusitambue yakuwa ofisi za umma ni mahali pa kuwapatia watu hudumu,kuwasaidia na kuwatua watu mizigo ya kero na changamoto? Kwanini Tugeuze ofisi za umma kama mahali pa kuneemesha Matumbo yetu yasiyo weza tupa Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu?

Watumishi wa Umma iweni na hofu ya Mungu na fanyeni kazi kwa ajili ya watanzania,ridhikeni na vipato vyenu na pateni fedha kwa njia halali na siyo haramu zenye kuwaumiza watu na kuwabubujisha watu machozi. Maana watumishi wa aina hii wezi na wala rushwa huwa hawaoni aibu wala haya kumbambikia mtu kesi ili kumkomoa,kumbambikia mfanyabiashara kulipa mapato makubwa yasiyoendana na uhalisia,kuwafanyia dhuluma na hujuma waadilifu,kuwakandamiza wanyonge,kupindisha haki na hata kuuza haki kwa mwenye fedha hata kama hana haki ya kupewa haki ya ushindi wa jambo fulani.

Pole sana Rais samia,usiumie wala kusikitika kama tulivyo sisi akina mwashambwa maana wewe ni tofauti na sisi,kwa kuwa wewe Tumekukabidhi mamlaka yote kikatiba na kisheria na unao uwezo wa kumuwajibisha yoyote yule atakaye kwenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma,unayo mamlaka ya kumuondoa yoyote katika nafasi yake na kuagiza vyombo vya Dola kufanya uchunguzi na kumshikilia mtuhumiwa ,unao uwezo wa kuamrisha lolote lile lililo ndani ya katiba yetu kwa mamlaka uliyo nayo na likatekelezwa ndani ya sekunde tu,Unao uwezo wa kusema Neno ukiwa ikulu ya Dar es salaam na Mbeya yote ikatikisika na kuripuka kwa shangwe na furaha na kujenga matumaini na imani kubwa zaidi na zaidi kwako juu yawabadhilifu wa pesa za umma. Wewe ndiye pekee uwezaye kuwafuta machozi watanzania kwa mamlaka makubwa uliyokabidhiwa kikatiba na kisheria.

Mwisho wa siku anayeangaliwa zaidi ni wewe na siyo wala Rushwa au mafisadi au wajivuni au wanao waonea na kuwakandamiza wananchi wako.wakilizwa au kuumizwa hawatawalilia na kuwachukia wabadhirifu bali watakulilia ,kukunyooshea vidole vya lawama na kukuchukia wewe ambaye wamekukabidhi mamlaka na Amri zote kuwa mkononi mwako.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Malizeni Ufisadi kwanza matutusa Nyie
Mzee John unaheshimika Sana humu jukwaani na hutakiwi wala kupendeza wala kuonekana ukitumia lugha za kihuni kama akina Mdude. Unaandika lugha za wahuni ambazo hata Erythrocyte huwezi kumkuta akiandika humu japo yupo upinzani na anaikosoa serikali yetu .
 
Mwambie kama anaumia na yeye apige tu., maana kwa sas ni mfumo wa kila mtu anapiga alipo.

Ndiyo zile familia unakuta mama anawaambia wanawe ngoja baba yenu aje mtaona, unategemea nin hapo, baba akifa hiyo familia itakuwa ya namna gani.
 
Rais Samia Ni Imara na Madhubuti sana kiuongozi ,ndio maana anachukua hatua kwa wezi wa fedha za umma.
 
Mzee John unaheshimika Sana humu jukwaani na hutakiwi wala kupendeza wala kuonekana ukitumia lugha za kihuni kama akina Mdude. Unaandika lugha za wahuni ambazo hata Erythrocyte huwezi kumkuta akiandika humu japo yupo upinzani na anaikosoa serikali yetu .
Wewe unatafsiri neno Ufisadi ni Lugha ya kihuni?

Yaani hadi mh Rais Samia kaunda tume yake binafsi kufuatilia Wizi mnaofanya hapo Mbeya unadhani ni jambo Dogo

Nyie UVCCM wa sasa ni bure kabisa mnaendekeza Uchawa tu

Ngoja niishie hapo nisije tukana bure!
 
Wameiba pesa hata milioni 500 hazifiki, ni kama 450 tu. hili halitakiwi kututoa kwenye reli ya kujadili suala la bandari. hilo ni la kumwachia tu kamanda wa takukuru mkoa tu atalimaliza hata Rais hatakiwi kupoteza muda nalo.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni moto ,ni moto ,Ni moto Unakwenda kuwaka mkoani Mbeya ,Ni moto utakao litikisa jiji la Mbeya,Ni moto utakao lisimamamisha jiji na mkoa wa Mbeya. Ni matumbo joto ,Ni Roho juu juu ,Ni presha juu,Ni majuto juu ,ni machozi juu kwa watumishi waliokiuka viapo vyao ,kuvisaliti na kuvisigina chini kwa kuamua kutumia fedha za umma kwa kuneemesha Matumbo Yao.

Rais Samia Alishasema ,alishaweka wazi ,alishaongea Hadharani na kutamka waziwazi kuwa ukitaka kujuwa Rangi yake basi wewe Gusa pesa za umma. Sasa kuna vichwa ngumu wakaona kuwa wao ni wajanja,wajuaji, watoto wa mjini wamegusa pesa za umma kwa maslahi yao binafsi,wamegusa na kuchezea jasho la Watanzania wanyonge kwa manufaa ya matumbo yao,Wamegusa mboni ya Rais Samia.Sasa watakiona cha moto ,wataona ghadhabu na hasira za Rais Samia juu ya pesa za umma,wanakwenda kukutana na mkono mkali wa Sheria juu ya matendo yao ya kuumiza juhudi za wananchi wanaohangaika kutwa nzima kutafuta pesa huku wakivuja jasho Juani.

Rais Samia Amezungumza kwa uchungu mkubwa sana uliyogusa hisia za watu wengi sana walioumia na kuudhika sana juu ya ubadhirifu huo na michezo michafu iliyofanywa na wale waliopewa dhamana ya kusimamia fedha za umma. Watanzania bila kujali itikadi zao za kisiasa wameonyesha kukasirishwa sana na Vitendo hivyo vilivyobainishwa na kuwekwa hadharani na Amiri Jeshi mkuu wetu wa majeshi ya ulinzi na usalama.

Ni aibu kwa mtumishi wa umma kufanya uharamia wa namna hiyo wakati kuna watanzania wanahangaika kutwa nzima ili walipe kodi,wasomeshe watoto,walipe kodi za nyumba,.wengine ni wajane na wengine ni yatima na wengine ni wazee lakini wanashinda Juani wakipambana kujipatia fedha na kulipa kodi na Tozo au ushuru mbalimbali ili mwisho wa siku zirudishwe na serikali yao kwa njia ya huduma kama zahanati au vituo vya Afya au shule au maji safi na salama au umeme, halafu wanatokea watu bila aibu wala haya wala soni wanafuja fedha bila aibu wala huruma?

Hivi hii siyo dhambi kweli? Siyo laana kweli? Mtu unapokea mshahara na marupurupu mengine halafu unakula hadi hela ya mjane? Yatima? Mzee? Inaingia akilini hii kweli? Mali na pesa hizo za wizi nani atazikwa nazo? Nani kasema kaburini kuna matumizi na vitu vya kununua? Nani anaondoka navyo? Kwanini mtu usiridhike na mshahara wako uupatao kwa njia halali au ufungue shughuli halali itakayo kupatia kipato Halali nje ya mshahara wako?

Hivi watumishi wa umma wa namna hii hawaoni huruma kwa namna mh Rais anavyohangaika kutafuta fedha kwa ajili ya watanzania? Hawaoni namna mh Rais anavyohangaika huku na kule kutafuta senti moja moja ili watu wakienda hospitalini wakute madawa,vifaa tiba pamoja na wahudumu wa afya? Hawaoni na kuwa na huruma Rais anavyotafuta fedha kila mahali katika Dunia Hii ili watoto wa maskini nao wapate Elimu bure kuanzia la kwanza hadi kidato cha sita pamoja na kupewa mikopo ya Elimu ya juu katika kutimiza ndoto zao?

Hawaoni huruma kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu ambao wengine wanabeba hadi zege kupandisha magorofani ili wapate mitaji? Kwanini wao wasilizike na kushukuru kwa kupata nafasi walizonazo kwa sasa ndani ya serikali? Kwanini watanzania Tusiwe waaminifu na waadilifu tuwapo katika ofisi za umma? Kwanini Tusijuwe utumishi ni kwa ajili ya kuwatumikia watu na siyo matumbo yetu Binafsi? Kwanini tusitambue yakuwa ofisi za umma ni mahali pa kuwapatia watu hudumu,kuwasaidia na kuwatua watu mizigo ya kero na changamoto? Kwanini Tugeuze ofisi za umma kama mahali pa kuneemesha Matumbo yetu yasiyo weza tupa Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu?

Watumishi wa Umma iweni na hofu ya Mungu na fanyeni kazi kwa ajili ya watanzania,ridhikeni na vipato vyenu na pateni fedha kwa njia halali na siyo haramu zenye kuwaumiza watu na kuwabubujisha watu machozi. Maana watumishi wa aina hii wezi na wala rushwa huwa hawaoni aibu wala haya kumbambikia mtu kesi ili kumkomoa,kumbambikia mfanyabiashara kulipa mapato makubwa yasiyoendana na uhalisia,kuwafanyia dhuluma na hujuma waadilifu,kuwakandamiza wanyonge,kupindisha haki na hata kuuza haki kwa mwenye fedha hata kama hana haki ya kupewa haki ya ushindi wa jambo fulani.

Pole sana Rais samia,usiumie wala kusikitika kama tulivyo sisi akina mwashambwa maana wewe ni tofauti na sisi,kwa kuwa wewe Tumekukabidhi mamlaka yote kikatiba na kisheria na unao uwezo wa kumuwajibisha yoyote yule atakaye kwenda kinyume na maadili ya utumishi wa umma,unayo mamlaka ya kumuondoa yoyote katika nafasi yake na kuagiza vyombo vya Dola kufanya uchunguzi na kumshikilia mtuhumiwa ,unao uwezo wa kuamrisha lolote lile lililo ndani ya katiba yetu kwa mamlaka uliyo nayo na likatekelezwa ndani ya sekunde tu,Unao uwezo wa kusema Neno ukiwa ikulu ya Dar es salaam na Mbeya yote ikatikisika na kuripuka kwa shangwe na furaha na kujenga matumaini na imani kubwa zaidi na zaidi kwako juu yawabadhilifu wa pesa za umma. Wewe ndiye pekee uwezaye kuwafuta machozi watanzania kwa mamlaka makubwa uliyokabidhiwa kikatiba na kisheria.

Mwisho wa siku anayeangaliwa zaidi ni wewe na siyo wala Rushwa au mafisadi au wajivuni au wanao waonea na kuwakandamiza wananchi wako.wakilizwa au kuumizwa hawatawalilia na kuwachukia wabadhirifu bali watakulilia ,kukunyooshea vidole vya lawama na kukuchukia wewe ambaye wamekukabidhi mamlaka na Amri zote kuwa mkononi mwako.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Nakuunga mkono 100%.

Nakushauri uwe unafupisha ujumbe wa social media ili tuweze hata kukukopi na kusambaza kwenye social media zingine.

Jaribu kutofautisha namna ya kufikisha makala, tangazo, ujumbe, nasaha na mengineyo.

Hongera kwako na kwa mama Samia.
 
Jaribu kutofautisha namna ya kufikisha makala, tangazo, risala, ujumbe, nasaha na mengineyo.

Hongera kwako na kwa mama Samia.
 
Back
Top Bottom