Zanzibar: Freeman Mbowe kuhutubia Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Wazee Duniani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,431
Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya Jambo hilo , ambako amepangiwa kuhutubia Taifa .

Hivi ndivyo alivyopokelewa kwa kishindo .

Screenshot_2023-10-01-11-59-30-1.png
Screenshot_2023-10-01-11-59-34-1.png
Screenshot_2023-10-01-11-59-43-1.png
Screenshot_2023-10-01-12-00-49-1.png
Screenshot_2023-10-01-12-00-33-1.png
 
Hivi hizi siku huwa zinasherekewa duniani kote au sisi bongo tu ndio tunamambo mengi.
 
Naomba sana mjaribu kusikiliza ushauri wetu hii approach mnayotumia na matendo ya CCM inaonesha wazi siyo effective. I may even go further and say wakina Mwabukusi, Mdude, Dr. Slaa, TEC, Maria Sarungi na yule mchungaji wa Mbeya wamefanya kazi kubwa kudai haki za wananchi waoga wa Tanzania kuliko nyie. CCM siyo watu wamaridhiano historia kupitia Zanzibar imedhihirisha hivyo hata wakishindwa kwa kura nyingi kama ilivyotokea kwa Sharif bado watatumia nguvu kubaki madarakani mtaweza kuwashinda tu kupitia civil disobedience na huwezi kufanya hivyo kama viongozi wenu wanashindwa hata kuamsha watu 5000 watoto nje kuandamana.
 
Ikiwa leo ni siku ya Wazee ya Kidunia ,, Kitaifa jambo hilo linawakilishwa na Wazee wa Chadema (BAZECHA) , hii ni baada ya Wazee wa vyama vingine kugeuka Chawa wa Watawala , na linafanyika Zanzibar , Tayari Mwamba wa Siasa za Tanzania , Ustaadh Aboubakar Mbowe amewasili Zanzibar kwa ajili ya Jambo hilo , ambako amepangiwa kuhutubia Taifa .

Hivi ndivyo alivyopokelewa kwa kishindo .

View attachment 2768383View attachment 2768384View attachment 2768385View attachment 2768386View attachment 2768387
Yaani wee jamaa wewe eti Ustadh Abubakar Mbowe wakati mbowe ni mgalatia! Mweee!
 
Matusi ya kizamani yanaonyesha wazi ulivyo mgeni , Karibu sana
hilotaifa analo hutubia mboe labda nitaifa lako namumeo sio hili latanzania ambalo mwenye haki yakulihutubia kwasasa ni Rais Samia

au mshalewa konyagi na mboe mkochumbani watu kumi anawahutubia mnajiona mpo taifazima?
 
Back
Top Bottom