Je huyu Msanii naye atakamatwa kwa uchochezi?. Piga kichwani joka la kijani.

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,445
8,299
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mkono. CCM imefunga watu wengi kisa kukoslewa.

Anza na yule dawa wa chato, Ney wa mtegp, Sifa na sasa huyu hapa mwamba...

Je naye watamfunga?. Mabadiliko yanakuja COM kaeni mguu sawa.

 
Kwa mtindo huu itafika hatua tutashindwa kabisa kutafuta sababu chanzi za matatizo yanayotukabili.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom