Ufafanuzi zaidi juu ya kauli ya Rais katika kumaliza changamoto ya umeme ndani ya Miezi sita

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,338
9,766
Ndugu zangu Watanzania,

Uongo ukizungumzwa sana bila kujibiwa au kukanushwa kwa hoja unaweza kuonekana kama ukweli hasa kwa watu wanaopata Taarifa kwa kusimuliwa tu na watu wengine. Mh Rais alizungumza na kuliambia Taifa kuwa changamoto za umeme zinakwenda kumalizika na kuisha ndani ya miezi sita Tuu. Lakini hakumaanisha kuwa ndani ya miezi sita kutakuwa na kiama au janga la umeme Nchini.

Mh Rais alimaanisha kuwa ndani ya miezi hiyo sita serikali yake inakwenda kumaliza ukarabati na matengenezo ya mitambo yote ambayo ilikuwa haijafanyiwa marekebisho na matengenezo kwa muda mrefu,lakini pia ndani ya muda huo serikali yake inakwenda kuongeza megawati za umeme kwa kutumia vyanzo vingine vya umeme kama vile umeme wa gas na jua, ndani ya muda huo serikali ya Rais samia inakwenda kukamilisha mradi mkubwa wa bwawa la mwalimu Nyerere litakalotupatia zaidi ya megawati 2115 zaidi au nyingi zaidi tunazozalisha kwa sasa mega watti 1900 kwa kutumia vyanzo vyote vya umeme.

Mh Rais alimaanisha kuwa kwa sasa Kama Taifa hatupaswi kutegemea chanzo kimoja pekee cha umeme kwa kuwa inakuwa changamoto hasa ikitokea ukame. Lakini pia shughuli zinazotegemea umeme zinaongezeka kila siku kutokana na kasi ya ukuaji wetu wa uchumi, unaotokana na kuwa na mazingira mazuri ya uwekezaji na biashara,hivyo kuhitaji kuwa na umeme wa kutosha kutoka vyanzo mchanganyiko.

Nimeona niliweke wazi hili maana wengine kupitia mitandao ya kijamii wanapotosha na kusema uchumi wetu unakwenda kufa na kusinyaa kutokana na kupungua kwa uzalishaji viwandani unaotokana na kutokuwepo kwa umeme kwa miezi sita. Niseme tu kuwa huo ni uongo na upotoshaji ambao wananchi tunapaswa kuupuuza ,kwa kuwa kwa sasa serikali inaendelea kupambana na kuongeza megawati 100 kila mwezi ili kuelekea katika kilele cha kumaliza changamoto hii ambapo kwa sasa tunakabiliwa na upungufu wa megawati 400.

Lakini pia bwawa la Nyerere limefikia 92% ya ukamilikaji wake na hivyo mapema mwakani linakwenda kuanza kazi kwa kishindo ,kasi na haraka sana na hivyo kumaliza kabisa tatizo hili ,ambapo tutaweza kuuza umeme mwingine nje ya nchi kutokana na kuwa na ziada ya kutosha.

Wengine wanauliza mbona Tatizo hili halikuwepo miaka michache iliyopita? Jibu ni kuwa Hali hii inatokea kwa sasa kwa kuwa kasi ya uchumi wetu kukua ni kubwa sana ambayo imepelekea shughuli nyingi zinazotegemea umeme kuongezeka kwa kasi nchini,uwekezaji mkubwa unaofanywa nchini kutokana na sera nzuri za serikali yetu kumepelekea mahitaji ya umeme kuongezeka kwa kiasi kikubwa sana na hivyo vyanzo tulivyokuwa navyo kuzidiwa katika kuzalisha umeme wa kutosheleza mahitaji yetu kwa sasa.

Lakini pia kwa sasa mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri sana uzalishaji wa umeme hasa kwa kuzingatia ukweli kwamba tulikuwa tunategemea umeme wa maji ,hivyo ukame umekuwa ukiathiri kwa kuwa kina cha maji katika mabwawa yetu kimekuwa kikipugua wakati wa kiangazi kutokana na ukame mkubwa. Hii ndio sababu serikali yetu kuamua sasa kuanza kutumia vyanzo mchanganyiko ambavyo ndani ya miezi sita kazi itakuwa imekamilika. Na siyo kweli kwamba kuna mtu au watu au kikundi cha watu wanafanya hujuma katika mabwawa yetu kwa kufungulia maji.kwakuwa kila mtu anajionea hali ya ukame iliyopo maeneo mbalimbali.

Kwa hiyo Tuendelee kuwa watulivu na wavumilivu wakati serikali yetu ikiendelea kufanya kazi usiku na mchana katika kumaliza changamoto hii ambayo itabaki katika historia vitabuni. Serikali yetu kwa sasa inachukua hatua au suluhisho la muda mrefu na siyo kufanya zima moto halafu tukawa watu wakulia lia mgao wa umeme kila mwaka inapofika kiangazi. Mwisho natoa Rai kwetu watanzania tuendelee kutunza vyanzo vyetu vya maji,misitu yetu tusiikate Kate hovyo kwa kuwa ndio vyanzo vya mvua, hivyo tutunze mazingira yetu ili yatutunze na pia tupande miti yakutosha katika maeneo yetu kwa wenye nafasi ya kutosha.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Nadhani ile aliyoacha Msigwa panakufaa sana
Hapana mzee wangu.Usiulize Tanzania itakufanyia nini bali jiulize utaifanyia nini Tanzania. Usiulize Rais samia atakufanyia nini bali jiulize utafanya nini kwa kushirikiana naye katika kulipatia Taifa letu maendeleo. Hapo ulipo kwamaandishi yako unaweza kulisaidia Taifa letu kwa kutoa mawazo yenye kuleta matokeo chanya.
 
Watu tunataka umeme sasa na sio kesho wala baada ya miezi sita. Mmetudanganya kwa zaidi ya miaka 30 sasa. Ni wakati wa kusema enough is enough. Inastosha

Na lazima ukubali tu kuwa mama yako huyo ni shida na ameshashindwa kuiongoza nchi. Na daima hujichanganya na kujiroga mwenyewe kupitia mdomo wake.

Ikawaje aseme hivyo katikati ya tatizo?

Siku hiyo kila mtu aliyekuwa anamtazama na kumsikiliza alitegemea Rais wa nchi angeueleza umma chanzo cha tatizo hili ni nini na ni ipi mikakati ya serikali ya muda mfupi na muda mrefu ya kulitatua.

Lakini cha ajabu, kila mtu akashuhudia pumba za kutisha na kukatisha tamaa toka kwa "kiongozi mkuu wa nchi" kuwa, tatizo la mmgawo wa umeme tulilonalo eti baada ya miezi sita ndo litaisha.!

Katika mazingira ya kawaida unatagemea nani afurahi au amwone Rais kuwa ana akili? Hakuna mtu isipokuwa kila mtu mwenye akili na ufahamu wa kawaida alishangaa na kuona kabisa kuwa HAPA HATUNA KIONGOZI BALI TUNA KIVLLI TU CHA MTU ANAYEITWA RAIS .!

Generally, I can say, that was so pathetic and disgusting speech!
 
Watanzania tuna uhuru mkubwa Sana

Yan mtu mmoja anaweza kuandika makala ya kuwaambia watu alichomaanisha Rais wa inchi

Na mtu huyo sio msemaji wake wala msemaji wa serikali

I think mamlaka sichukue hatua za watu kama hawa kama vile wanavyochukua hatua Kwa watu wanaopotosha kauli za Rais
 
Wewe ndio wale ulikuwa unakesha kupotosha watu ,ndio maana hutaki kusikia habari za ukweli
 
Dogo acha kujitwisha majukumu yasiyo kuhusu. Kumbuka wewe siyo Msemaji wa serikali/Msemaji binafsi wa Rais.
 
Ndugu yangu Tate Mkuu kwani ninyi majukumu ya kupotosha mnayojitwishaga na kuleta Taharuki huwa mnapewa na nani? Najuwa mnafurahi sana mnapoona uongo ukipaa na kuleta uchonganishi kwa wananchi zidi ya serikali yao. Mimi hapa sijazungumza kwa niaba ya serikali wala kuisemea serikali bali nimezungumza kile kilichozungumzwa na serikali kupitia mh Rais.
 
Watu tunataka umeme sasa na sio kesho wala baada ya miezi sita. Mmetudanganya kwa zaidi ya miaka 30 sasa. Ni wakati wa kusema enough is enough. Inastosha

Na lazima ukubali tu kuwa mama yako huyo ni shida na ameshashindwa kuiongoza nchi. Na daima hujichanganya na kujiroga mwenyewe kupitia mdomo wake.

Ikawaje aseme hivyo katikati ya tatizo?

Siku hiyo kila mtu aliyekuwa anamtazama na kumsikiliza alitegemea Rais wa nchi angeueleza umma chanzo cha tatizo hili ni nini na ni ipi mikakati ya serikali ya muda mfupi na muda mrefu ya kulitatua.

Lakini cha ajabu, kila mtu akashuhudia pumba za kutisha na kukatisha tamaa toka kwa "kiongozi mkuu wa nchi" kuwa, tatizo la mmgawo wa umeme tulilonalo eti baada ya miezi sita ndo litaisha.!

Katika mazingira ya kawaida unatagemea nani afurahi au amwone Rais kuwa ana akili? Hakuna mtu isipokuwa kila mtu mwenye akili na ufahamu wa kawaida alishangaa na kuona kabisa kuwa HAPA HATUNA KIONGOZI BALI TUNA KIVLLI TU CHA MTU ANAYEITWA RAIS .!

Generally, I can say, that was so pathetic and disgusting speech!
Ndio maana nimeona umuhimu mkubwa sana kuandika nilichoandika kwa ajili ya kuwasaidia watu aina yako msiofuatilia mambo.unasema mh Rais angesema chanzo cha Tatizo na suluhisho la muda mrefu. Hivi kweli hukusikia mh Rais akiongea chanzo cha Tatizo na suluhisho la muda mrefu? Hivi kweli hukusikia mh Rais akisema nini kinakwenda kufanywa na serikali kumaliza tatizo hilo na kulifanya kuwa Historia hapa nchini? Kama ulikuwa hujui alichosema mh Rais basi soma tena andiko langu ambapo nimeelezea kila kitu ndani yake.
 
Duuh.

Sawa mkuu ila uwe na uhakika ulichokiandika ndio msimamo wake otherwise unamchokoza mhusika.
Asante nashukuru kwa mchango wako,lakini napenda kukuambia kuwa nimeelezea kile alichokizungumza mh Rais hadharani. Nimefanya hivi ili kuwasadia wale ambao husubiri Taarifa za kuhadithiwa kutoka kwa watu ambapo wengine hutumia mwanya huo kupotosha kwa maslahi yao binafsi na chuki zao zisizo na msingi .
 
Kwahiyo tukimaliza ujenzi wa bwawa la Nyerere na kumalizia kusafisha mitambo ndiyo hatutategemea umeme wa maji? Au ndiyo tutakuwa tumeondoa ukame?
 
Ndugu yangu Tate Mkuu kwani ninyi majukumu ya kupotosha mnayojitwishaga na kuleta Taharuki huwa mnapewa na nani? Najuwa mnafurahi sana mnapoona uongo ukipaa na kuleta uchonganishi kwa wananchi zidi ya serikali yao. Mimi hapa sijazungumza kwa niaba ya serikali wala kuisemea serikali bali nimezungumza kile kilichozungumzwa na serikali kupitia mh Rais.
Ni majukumu yapi hayo ya kupotosha tuliyojitwisha na kuleta taharuki?

Mimi nakushauri uende kwa kipimo. Maana huku unakokwenda, unapotea. Rais ana watu wake wa kusema kwa niaba yake pale inapobidi! Na kwa bahati mbaya, wewe si mmoja wao.
 
Hii kauli ya kusema tutakuwa na umeme mwingi wa ziada mpaka tutauza na nje ya nchi ni kama maneno ya gas pia

Tumeshindwa kuuza nyanya nje tutauza umeme ambao kila leo una tatizo
Kusema tutasahau hii kadhia baada ya miezi 6 hebu ongezeni basi maana makadirio huwa hatujui kabisa
 
Kwahiyo tukimaliza ujenzi wa bwawa la Nyerere na kumalizia kusafisha mitambo ndiyo hatutategemea umeme wa maji? Au ndiyo tutakuwa tumeondoa ukame?
Tutaendelea kutumia vyanzo mchaganyiko badala ya kutegemea chanzo kimoja tu cha umeme kama ilivyokuwa .lakini pia Bwawa la umeme la mwalimu Nyerere litatupatia umeme wa kutosha sanaa ambapo hata likipunguza uzalishaji kutokana na kupungua kidogo kwa kina cha maji bado hatutapata athari ya kukatika kwa umeme ,maana tutapata mwingine kupitia gas,jua na hata mabwawa mengine ambayo mitambo yake inaendelea kufanyiwa matengenezo na maboresho.
 
Back
Top Bottom