Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.

Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote.

Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alijinasibu kuwa endapo atamkuta kibaka ndani kwake, yeye jukumu lake ni kumuua na si kumpeleka kwenye sheria.

Hizi kauli na zinginezo tunazozisikia akiwa kwenye maeneo ya starehe ni wazi zinaonesha haiba, tabia na mwenendo wa aliyemteua kuwa zaidi ya mteule wake.

Tumeona Mkataba wa DP World ambapo umesainiwa na kila dalili za kupuuza maoni ya wananchi na wataalam.

Tumeona, namna ambavyo sheria ya kinga kwa wanausalama dhidi ya jinai ya kuua ikipitishwa bila kujali maoni ya wadau na kilio cha wananchi dhidi ya sheria hiyo

Kusaini sheria ya fedha 2021/2022 ambayo ilileta tozo mbaya iliyoua masoko ya fedha mtandao nchini ni kuwa aliyewezesha hilo hakuna wa kumfanya lolote.

Je, tusubiri kuona Chalamila akidhuru maisha ya watu hadharani ndo hatua zichukuliwe?

Sisi Watanzania tuna jukumu moja tu 2025, kuiwajibisha CCM kupitia sanduku la Kura kwa sababu imelea na kutuketea viongozi wahuni wasio na maadili na utu.

Jumapili ya baraka

Thread 'RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!' RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!
 
Hatari sana kuwa na viongozi wajinga wa kiwango cha huyu bwana,karne ya 21 yeye anajivunia matumizi ya nguvu na ubabe. Huyo hafai kuwa kiongozi,maana haamini katika utawala wa sheria.Mamraka za uteuzi zimshughulikie,kwanza kamdharau hadi rais kuwa hawezi mfanya chochote.Hivyo sidhani kama atatumbuliwa.

😭😭😭😭
 
Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.

Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote.

Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alijinasibu kuwa endapo atamkuta kibaka ndani kwake, yeye jukumu lake ni kumuua na si kumpeleka kwenye sheria.

Hizi kauli na zinginezo tunazozisikia akiwa kwenye maeneo ya starehe ni wazi zinaonesha haiba, tabia na mwenendo wa aliyemteua kuwa zaidi ya mteule wake.

Tumeona Mkataba wa DP World ambapo umesainiwa na kila dalili za kupuuza maoni ya wananchi na wataalam.

Tumeona, namna ambavyo sheria ya kinga kwa wanausalama dhidi ya jinai ya kuua ikipitishwa bila kujali maoni ya wadau na kilio cha wananchi dhidi ya sheria hiyo

Kusaini sheria ya fedha 2021/2022 ambayo ilileta tozo mbaya iliyoua masoko ya fedha mtandao nchini ni kuwa aliyewezesha hilo hakuna wa kumfanya lolote.

Je, tusubiri kuona Chalamila akidhuru maisha ya watu hadharani ndo hatua zichukuliwe?

Sisi Watanzania tuna jukumu moja tu 2025, kuiwajibisha CCM kupitia sanduku la Kura kwa sababu imelea na kutuketea viongozi wahuni wasio na maadili na utu.

Jumapili ya baraka

Thread 'RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!' RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!
Kwamba Bado unaamini njia ya box la kura inaweza kukupa viongozi uwatakao?
 
Mkuu, mbona unachukulia vitu too personal?Unaamini kweli ataua mtu?😂😂😂😂
 
NI KIONGOZI LAKINI NI KIJANA MWENZENU HUYO, UGANGWE KIDOGO SI MBAYA, SOMETIME MAISHA BILA KUJINAFASI KIDOGO HAYENDI, UCHONGANISHI UMESHINDIKANA KWA HILI.
 
Back
Top Bottom