ACT na CCM kupambana na CHADEMA kidola si ishara ya wawili hawa kukosa sera?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
CHADEMA wametoka kanda ya ziwa kukinukisha hadi CCM wakalazimika kuteua naibu waziri Mkuu.

CHADEMA wamekwenda Zanzibar kwenye baraza la wazee mara paap ACT wamecharuka kwa hasira utadhani wao wamepewa kibali cha kumiliki Zanzibar

CHADEMA wametangaza OPERESHENI kusini mara paap mawaziri wamehamia mbeya akiwemo waziri wa fedha huku Katibu mkuu akiingia Rukwa.

Huu mpambano kati ya vyama hivi viwili marafiki dhidi ya CHadema utainufaishaje ACT? Kama CCM ni rafiki wa kweli mbona kila wakifanya uchaguzi wanawateka?

Naona CCM wameanza kukinai kuitwa chawa ila wao walishindwaje kuona madhara ya uchawa kisiasa?
 
Back
Top Bottom