Kuhusu mkutano wa Dr. Slaa, Mwanza tarehe 4 Oktober 2023

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Sasa hivi ni very late kuzungumza kuhusu maswala haya. Ukiandika saa hizi zinatokea spelling errors nyingi.
We will discuss it the morning. Lakini wale wanasema watafanya mkutano bila ruhusa ya Polisi; hii sasa itakuwa mwanzo mwingine tena wa duru ya sarakasi.

Kwa nini Sauti ya Watanzania wasikamilishe hivyo vibali.
Tunaona hapa mambo yanafanyika ambayo siyo sahihi. Hakuna Katiba katika nchi hii. Kwa hiyo Dr. Slaa na wenzake wakamilishe hivyo vibali.
Na bila kujali Jumuia ya Kimataifa itasema nini,lazima Watanzania tujiulize kama tunataka watu wakamatwe kwa ajili tu ya kuhoji mkataba wa bandari.

Hii simu yangu ina - jam. Kwa hiyo unaniuliza pointi yangu I will be sa brief as I can.

Hili swala litanzuliwe kwa kushirikiana kwa Serikali,Chama na Jeshi la Wananchi.

Jeshi linaweza kuwashinikiza wafikie mwafaka even without taking over the government.

Mind you,hata military takeover haina tatizo,isipokuwa inatokea hali kama kwa mfano Patrice Lumumba alipouawa ambapo sera za nchi zinabadilika na wananchi wanasalitiwa.
 
...na pointi yako ni?
 
Ushapiga vyombo unapuyanga tu.
 
Kwa kifupi akili huna kufikiri kuna sheria ya kuomba ruhusa, na kama wakiomba watapewa.
 
Back
Top Bottom