Mwenye CV ya Msemaji Mpya wa Serikali atusaidie? Atueleze amewahi kufanya nini cha kukumbukwa kwenye maisha yake ya utumishi au siasa?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Naomba mwenye CV ya Msemaji Mpya mrithi wa Gerson Msigwa atuwekee hapa.

Sambamba na TV nani anaweza kutupa A,B,C ya mambo ambayo amewahi kufanya na kufanikiwa ili tuone kama anaweza kilisemea Taifa au Serikali pale tunapolazimika kufanya hivyo.

Je, kuzungumza na waandishi wa habari akiwa DC Temeke linatosha kuwa chanzo cha kuwa msemaji wa serikali?

What are the quality behind appointment
 
Kiufupi alikuwa Marekan myda mrefu akifanya uchambuzi wa siasa kwenye redio kama bbc/voa kumbr alikuwa jasusi

Akarudishwa bongi na kuimgia usalama
2015 alikuwa team ya membe walipoingia akina magu akaanza kufanyiwa fitina

2016 akapelekwa congo kama mwanadiplomasia ili aondolewe pale usalama

2019 akarudi mjini akawekwa benchi(inasemekana wakubwa usalama wakawa wanaogopa elimu yake/exp yake kuwa atachukua cheo chao akapigwa fitina kuwa ye ndo anamlisha kigogo info akachukuliwa na watu wasiojulikana akafichwa 3month hatyjui alipo

Mchrpuko wake ndo ulimshtua wife wake kuwa jamaa anauawa maana hawana ukweli juu ya wanachomtuhumu

Mkewe akawasiliana na wifi yake aongee na mmewe( mdogo wake matinyi ameolewa na cag kichele) so kichele akaongea na Magu kuwx shemeji yangu amechukuliwa na usalama 4month now wanaweza mpoteza mazima ndo Magu kuingikia kati

Jamaa akaachiwa ila akawekwa chini ya uangalizii pasport na kila electronic home kwake ikachukuliwa

Mkewe ana uraia wa usa ingawa ni mbongo

Amekuja kurudishwa na mama kuwa mkuu wa wilaya juzi

So kwa ufupi ni jasusi mbobefu
Aisee

Hawa usalama nowdays ndiyo wanajaza nafasi nyingi serikalini za uteuzi..
 
Kiufupi alikuwa Marekan muda mrefu akifanya uchambuzi wa siasa kwenye redio kama bbc/voa kumbr alikuwa jasusi

Akarudishwa bongi na kuimgia usalama
2015 alikuwa team ya membe walipoingia akina magu akaanza kufanyiwa fitina

2016 akapelekwa congo kama mwanadiplomasia ili aondolewe pale usalama

2019 akarudi mjini akawekwa benchi(inasemekana wakubwa usalama wakawa wanaogopa elimu yake/exp yake kuwa atachukua cheo chao akapigwa fitina kuwa ye ndo anamlisha kigogo info akachukuliwa na watu wasiojulikana akafichwa 3month hatyjui alipo

Mchrpuko wake ndo ulimshtua wife wake kuwa jamaa anauawa maana hawana ukweli juu ya wanachomtuhumu

Mkewe akawasiliana na wifi yake aongee na mmewe( mdogo wake matinyi ameolewa na cag kichele) so kichele akaongea na Magu kuwx shemeji yangu amechukuliwa na usalama 4month now wanaweza mpoteza mazima ndo Magu kuingikia kati

Jamaa akaachiwa ila akawekwa chini ya uangalizii pasport na kila electronic home kwake ikachukuliwa

Mkewe ana uraia wa usa ingawa ni mbongo

Amekuja kurudishwa na mama kuwa mkuu wa wilaya juzi

So kwa ufupi ni jasusi mbobefu
Aisee!
 
We wakat mobhare yuko usa ulijua ni usalama? Mobhare ni Usalama na Masyaga ni usalama kwa cover ya uandishi ndg acha kubishana
Wabongo wepesi mno kuongopewa. Masiyaga alitumia sana nafasi ya kaka yake. Hadi kuna wakati alikamatwa kwa rushwa Arusha. Huyo kaka yake yupo huko kitambo sana
 
Kwa hiyo ameteuliwa kwa sababu yeye na mdogo wake ni watu wa vitengo?

Amewahi kufanikiwa katika jambo gani ambalo TAIFA linaweza kujivunia?

Creativity yake imelala kwenye maeneo gani? Is he from familia bora or bora familia?
 
We wakat mobhare yuko usa ulijua ni usalama? Mobhare ni Usalama na Masyaga ni usalama kwa cover ya uandishi ndg acha kubishana
Huyu agness masyaga ni mwanae?
1696202486178.png
 
Back
Top Bottom