Zitto anapitishwa kule kule alipopitishwa Lipumba, Cheyo na Mrema; ameondolewa kwenye ramani ya siasa

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Kisiasa Zitto ameshaingia kwenye njia wanayotumia wenzake kusafiri kuelekea uzeeni. Zitto wa ACT siyo yule wa CHADEMA.

Mwanzo alipoamua kuanzisha mapambano na CHadema akiongozana na Kitila Mkumbo nilidhani ameonewa kumbe alikuwa kwenye harakati zakubomoa chama kwa malengo ya kuwa chama kikuu cha upinzani.

Leo mara paap waliomtuma wamemtelekeza akiwa tayari amefungwa mdomo. Naamini hakuwahi kuwaza kuishia pabaya kisiasa mapema hivi. He is still too young to retire

Contrary alichobaki nacho nikupewa uteuzi ambapo naamini atastaafu siasa akiwa japo waziri ndani ya serikali ya CCM kama walivyowahi kuzawadiwa wenzake.

Vijana tujifunze kujitegemea kifikra
 
Zitto hajawahi kuwa mpinzani.
Siku zote ni ndumi la kuwili .
Kama wewe umejua leo basi umechelewa sana..
 
Kisiasa Zitto ameshaingia kwenye njia wanayotumia wenzake kusafiri kuelekea uzeeni. Zitto wa ACT siyo yule wa CHADEMA.

Mwanzo alipoamua kuanzisha mapambano na CHadema akiongozana na Kitila Mkumbo nilidhani ameonewa kumbe alikuwa kwenye harakati zakubomoa chama kwa malengo ya kuwa chama kikuu cha upinzani.

Leo mara paap waliomtuma wamemtelekeza akiwa tayari amefungwa mdomo. Naamini hakuwahi kuwaza kuishia pabaya kisiasa mapema hivi. He is still too young to retire

Contrary alichobaki nacho nikupewa uteuzi ambapo naamini atastaafu siasa akiwa japo waziri ndani ya serikali ya CCM kama walivyowahi kuzawadiwa wenzake.

Vijana tujifunze kujitegemea kifikra
Umewasha mot, ngoja Nondo aje
 
Ila nyie watu bana....why don't you mind your business?

Zitto alifukuzwa chadema since 2013 wakati kama huu, kupitia pingamizi la mahakama akawepo kinyume cha utashi wenu mpaka 2015 alipotoka rasmi...10 years later bado mnamjadili!

Come on guys...get life and move on!
 
Itoshe tu kusema huyo ndio mrithi wa Mrema,Lipumba.

Jumlisha bna udini wake alionao,hutomsikia kamwe akimkosoa Mama Ushungi!!

Anajilia tu ujira wa mwiha,2025 hatogombea uraisi kupitia ACT- kuepuka kugawa kura za Mama Ushungi kanda ya Pwani!!

Kura za CHADEMA zitaibwa kupewa ACT na FISIEMU!!

Siku akifa Zitto basi na ACT itakufa na itakua kheri maana Kigoma daima huzalisha mamluki na wasaliti wa mageuzi ya utawala na wachuma tumbo.

Anzia kwa Katibu Mkuu wa kwanza,Dr Kabouru,nenda kwa kina Moses Machali,Kafulila,Zitto na wanasiasa wote unaowajua walikua active upinzani!!

Dr Kabouru aliapa kabisa kua siku akirudi CCM basi atamlala Mama yake,hapo akiwa Katibu Mkuu CHADEMA!!

Kafa akiwa mtumishi wa Lumumba na akazikaa na wana Lumumba!!
 
Avune alichopanda
Wanasiasa huwa wanasahau kuna maisha baada ya siasa
Rais Mwinyi pekee anafurahia maisha baada ya kustaafu siasa wengine wengi wana wakati mgumu sana huko mbele..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom