Mbunge Mary Masanja Agawa Magodoro na Mashuka Shule ya Msingi Mitindo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,900
944

MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo

Mhe. Mary Masanja amefanya ziara na kuwa pamoja na watoto wenye ulemavu wa ngozi na viungo vya mwili katika shule ya Msingi Mitindo iliyopo Wilaya ya Misungwi Mkoa wa Mwanza na kuwagawia Magodoro 30 na Mashuka 50.

Ziara hiyo iliambatana na kugawa zawadi kwa watoto baada ya kuona vipaji mbalimbali vya watoto ambao waliimba Nyimbo nzuri za uzalendo, Utangazaji, na Uchekeshaji kwa njia ya Maigizo
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2023-10-07 at 13.39.18.mp4
    22.9 MB
  • WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.19.jpeg
    WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.19.jpeg
    294.3 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.19(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.19(1).jpeg
    202.8 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.20.jpeg
    WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.20.jpeg
    255.9 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.21.jpeg
    WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.21.jpeg
    216.7 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.21(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-10-07 at 13.39.21(1).jpeg
    228 KB · Views: 2
Back
Top Bottom