Msemaji wa Serikali, Matinyi: Nitahakikisha Wananchi wanajua Serikali inafanya nini, nasi tunajua wanataka nini

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi akiwa kwenye hafla za utoaji tuzo za Washindi wa Shindano la JamiiForums la Stories of Change zilizofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro amebainisha kuwa kazi kubwa atakayoifanya ni kuhakikisha Wananchi wanapataa taarifa

Amesema kuwa atahakikisha Wananchi wanapata taarifa kwa wakati na kujua nini Serikali yao inafanya na ina malengo gani lakini wakati huo huo Serikali kupata kujua Wananchi wanataka nini

Aidha, amebainisha pamoja na Rais Samia akusema kuwa amekuwa akisoma maoni yanayoandika kwenye kurasa za JamiiForums, yeye pia amefurahi kwani kila mtu anatoa maoni yake kwa uhuru kabisa au kwa kujiachia

Amesema kuwa moja ya sehemu muhimu wanayofutalia kujua ya kuwa Wananchi wanataka nini na Wana maoni gani ni JamiiForums

My take:
Wanajamvi tuendelee kutoa maoni yetu kwa moja na kuongea kwa uwazi bila kuvunja sheria wala kutukana mtu…wanasoma kumbe na naamini wanafanyia kazi
 
Kila CCM lazima awe na PhD ya uwongooooo huyu alikuwa anadanganya pale ngorongoro kwamba wamasai wapo poa kumbe wanapigwa risasi
 
Msemaji wa Serikali, Mobhare Matinyi akiwa kwenye hafla za utoaji tuzo za Washindi wa Shindano la JamiiForums la Stories of Change zilizofanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro amebainisha kuwa kazi kubwa atakayoifanya ni kuhakikisha Wananchi wanapataa taarifa

Amesema kuwa atahakikisha Wananchi wanapata taarifa kwa wakati na kujua nini Serikali yao inafanya na ina malengo gani lakini wakati huo huo Serikali kupata kujua Wananchi wanataka nini

Aidha, amebainisha pamoja na Rais Samia akusema kuwa amekuwa akisoma maoni yanayoandika kwenye kurasa za JamiiForums, yeye pia amefurahi kwani kila mtu anatoa maoni yake kwa uhuru kabisa au kwa kujiachia

Amesema kuwa moja ya sehemu muhimu wanayofutalia kujua ya kuwa Wananchi wanataka nini na Wana maoni gani ni JamiiForums

My take:
Wanajamvi tuendelee kutoa maoni yetu kwa moja na kuongea kwa uwazi bila kuvunja sheria wala kutukana mtu…wanasoma kumbe na naamini wanafanyia kazi
Wanasoma na wana id zao huwa muda mwingine likiwang'ata sana wanajibu kwa hasira na matusi!
 
Asije akayameza maneno yake
 
Aanze na wezi bandarini waliokubuhu hadi kufikia uamuzi wa Rais wetu kwenda kupatanisha kampuni ya kigeni kuja kutuendeshea bandari.
-Aweke hadharani ni nani hao kwa
majina na nyadhifa zao.
-Aweke wazi mpango wa Serikali kuhusu
mkataba wake na DPW, unavunjwa au
Serikali itaendelea kufanya kiburi?
 
Back
Top Bottom