Makamu wa Rais Dr Mpango aongoza Wananchi kwenye mapokezi ya Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,025
Makamu wa Rais mh Dr Mpango aliwaongoza Wananchi na Wote wenye Mapenzi Mema katika mapokezi ya Mwadhama Protace Kardinali Rugambwa pale JNIA

Kardinali Rugambwa alisimikwa Kitini kama Kardinali wiki hii nchini Vatican na Baba Mtakatifu aketiye Kitini lake Mtume Petro Papa Francisco

Mungu ni Mwema wakati wote 😄
 
Amen, na pia ni katika kukumbushana tuu kuwa mambo yetu yale ni zamu kwa zamu, ikifika zamu ya Mkristo, yaani akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki!.
P
 
Amen, na pia ni katika kukumbushana tuu kuwa mambo yetu yale ni zamu kwa zamu, ikifika zamu ya Mkristo, yaani akiwa Mkristo, ni lazima awe Mkatoliki!.
P
Hakuna pahala popote, si kwenye katiba wala sheria ama kanuni pameandikwa kuwa kuna zamu ya waislam na wakristo na kwamba akiwa mkristo basi awe mkatoliki.

Huwa inatokea tu by coincidence and by chance
 
Mbona Kardinali hakupokelewa VIP au hakustahili hiyo hadhi? Nimeona anatokea mlango mmoja na mimi nikashangaa kidogo.
Kwasababu Makamu wa Rais alisema wananchi wakampokee nikadhani, mapokezi yangekuwa kule VIP.
 
Ingekuwa opposite "wanachanganya dini na siasa"
Mbona Sheikh Ilunga Kapungu alikuwa anapokelewa kutukana dini zingine? CD's zake za chuki zimetapakaa maeneo yote ya ibada? Hilo hulioni asilani!
 
Wakristo mko vzr kumbe bado mna mitume? Mtume Petro ,nasikia huyu mtume Petro anasamehe dhambi.Ukienda kwake ukatubu anakwambia usirudie nimekusamehe.Pole sana wakristo.
 
Back
Top Bottom