Ni muhimu Dkt. Slaa na wenzake wasikamatwe

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,716
Tunasikia mambo yanayotokea Mwanza. Hawa watu wanataka tu nafasi ya kutoa maoni yao. Kwa vile hawana nguvu,hakuna mtu anayetaka kuwasikiliza.

Polisi wanatumia ukali sana kwa vile wanafikiria askari lazima awe mkali.

Lakini mimi namkumbuka Brigadier General Moses Nnauye alivyokuwa mpole sana.

Siyo matendo tu yanatazamwa katika hukumu. Watu pia wanauliza mtu alikuwa anawaza nini .

Dkt. Slaa anaposema "Nchi inaingizwa mkenge na huu mkataba wa bandari",huo ndio wakati wa kujiuliza,anaposema hivyo anawaza nini.

Labda Rais Samia au Prof. Mbarawa atasema,"Huu mkataba una faida sana kwa Watanzania." Watu lazima wajiulize anasema hivyo lakini anawaza nini. Anawaza"Hawa watu nawaambia mkataba huu una faida kwao,kwa nini wanashindwa kuelewa jambo dogo namna hii?". Au,anawaza nini.

Tazama Mahakamani utaona this pattern of speech,katika hukumu au katika mashitaka:"Wewe,bwana,ulisema unaweza kufanya hivi na hivi,huku ukijua kwamba ni uongo. Tunakutia hatiani."

Kwa hiyo,tunasema hatuoni sababu ya Dr.Slaa na wenzake,Utatu wa Dr. Slaa,Wakili Mwabukusi na Mdude Nyagali kutishiwa usalama wao.
 
Israel hawakujua kuwa duniani hakunaga kiumbe dhaifu

Netanyahu: Ni Vita ngumu na ndefu ambayo haina mfano
 
Haonwafinywe tu, wasiwachiwe hata kidogo.

Ni mqshetani wanaotaka amani na usalama wa Tanzania utoweke.

Kinachowspa kiburi haonni tec.

Hao na tec, wote ni wakufinywa mmoja mmoja tu.

Wala wasifanyiwe haraka.

Waanzwe wanaowatuma, kila mmoja afinywe kwa staili yake.
 
Haonwafinywe tu, wasiwachiwe hata kidogo.

Ni mqshetani wanaotaka amani na usalama wa Tanzania utoweke.

Kinachowspa kiburi haonni tec.

Hao na tec, wote ni wakufinywa mmoja mmoja tu.

Wala wasifanyiwe haraka.

Waanzwe wanaowatuma, kila mmoja afinywe kwa staili yake.
Saudi arabia: Tumeamua Sawa na Marekani, Hamas wafutwe ni tishio kwa Amani ya Dunia!
 
Unawaambia CCM ambao tayari kiu ya damu imetawala ubongo wote?
 
Makundi yote ya Magaidi yanaungana kuisaidia Hamas

Tunashukuru ile Kesi ilifutwa!
Hata Mandela aliitwa gaidi na aliungwa mkono na Tanzania.

Nyerere katika Afrika ni namba moja kuwaunga mkono wapalestina. Alifunga mpaka ubalozi wa wayahudi na kuwapa saa 24 wapotee Tanzania.
 
Hata Mandela ali8tqa gaining na ali7ngwa mjono Tanzania.

Nyerere katika Afrika ni namba moja kuwaunga mkono wapalestina. Alifunga mpaka ubalozi wa wayahudi na kuwapa saa 24 wapotee Tanzania.
Palestine itakuwa historia

Tutabaki na hawa Waarabu Wetu wa Mchongo 😂
 
Back
Top Bottom