Hayati Rais Magufuli alipata wapi fedha za kujenga barabara upya barabara karibia zote Dar es Salaam

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.

Screenshot_20230412-175108_Google.jpg
 
Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.View attachment 2592031
Jiulize pia JK alipata wp hela kupandisha mishahara ya watumishi kila mwaka tokea anaingia madarakani mpk anatoka miaka 10 yote jambo ambalo lilimshinda Magufuli kwa miaka yote 6 ya kututawala!
 
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.View attachment 2592031

Kuhusu Mradi wa Kuendeleza Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project)​

1. Utangulizi​

Katika Mwaka wa fedha 2012/13 Serikali ilibuni Mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project – DMDP) ikiwa ni kutekeleza ilani ya Chama cha Mapinduzi yenye dhamiri ya kupambana na changamoto kubwa nne; Kwanza kuondoa umaskini, pili kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira hasa kwa vijana, tatu kupambana na rushwa na ubadhilifu wa mali za umma na nne kudumisha Ulinzi na Usalama wa wananchi na mali zao.

Aidha, Mradi wa DMDP ni matokeo ya miradi miwili mikubwa inayotekelezwa na Serikali ya Chama cha Mapinduzi. Mradi wa wa kwanza ni ule ujulikanao kama Mradi wa uendelezaji wa miji minane kimkakati (Tanzania Strategic Cities Project – TSCP) unaotekelezwa katika Majiji ya Arusha, Mwanza na Mbeya na Manispaa za Kigoma Ujiji, Mtwara Mikindani, Dodoma, Kigoma Ujiji pamoja na Mamlaka ya Uendelezaji wa Makao Makuu Dodoma – CDA. Mradi mwingine ni ule wa Uendelezaji Miji kumi na nane ujulikanao kama Urban Local Government Strengthening Programme (ULGSP). Kwa ujumla katika miradi hii miundombinu ya barabara, mitaro ya maji ya mvua, nyenzo muhimu za ukusanyaji na uhifadhi wa taka ngumu pamoja na mifumo ya ukusanyaji wa mapato ya ndani katika maeneo husika vimeboreshwa kwa kiwango kikubwa.

Katika mazingira ya hapa Dar es Salaam, Serikali iliamua kutekeleza mradi wa DMDP kwa kuiangalia Dar es Salaam katika hali ya upekee kutokana na kuwa:-

i) Jiji la Dar es Salaam linakua kwa kasi kwani inakadiriwa kuwa ifikapo mwaka 2030, Jiji hili litakuwa na idadi ya watu zaidi ya milioni 10.
ii) Jiji la Dar es Salaam linakabiliwa na changamoto mbalimbali za kiutawala katika kuwajibika vyema kwa wananchi wake.
iii) Manispaa za Jiji zinahitaji nyenzo muhimu za ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kupunguza utegemezi wa Serikali Kuu katika mipango na bajeti zake,
iv) Ukuaji wa Jiji la Dar es Salaam unakabiliwa na makazi yasiyopimwa kwa kati ya asilimia 70 mpaka 80. Aidha, kutokana na ukuaji kasi wa Jiji la Dar es Salaam na mabadiliko ya tabia nchi yanayoikabili dunia, athari za mafuriko zinatarajiwa kuongezeka katika Jiji la Dar es Salaam. Hivyo, bila kuwa na mipango bora ya utoaji wa huduma, Jiji hili linaweza kutokukalika au kutotawaliwa.

2. Madhumuni ya Mradi wa DMDP​

Madhumuni makubwa ya mradi wa DMDP ni kukabili changamoto zinazolikabili Jiji la Dar es Salaam kwa kutilia mkazo maeneo yafuatayo:-

i) Uboreshaji wa huduma za jamii kama miundombinu na kujenga uwezo wa Manispaa za Jiji la Dar es Salaam katika utoaji huduma,
ii) Kuchangia katika kukabili changamoto za mabadiliko ya tabia nchi,
iii) Kusaidia katika kukabili matukio makubwa ya dharura kama majanga ambayo yanaweza kulikabili Jiji la Dar es Salaam.

3. Maandalizi ya mradi wa DMDP​

Sanifu mbalimbali zilifanywa kulingana na vipaumbele na upatikanaji na fedha. Baada ya usanifu kukamilika vipaumbele muhimu vilianishwa kwa kufuata vigezo muhimu bila kuangalia umaarufu wa maeneo au itikadi mbalimbali. Vigezo muhimu vilikuwa ni hivi vifuatavyo:-
i) Miradi inayounganisha maeneo ya watu wenye kipato kidogo na yaliyojengwa holela
ii) Miradi inayounganisha Wilaya na Mkoa
iii) Miradi inayounganisha maeneo mbalimbali na ukanda wa mabasi yaendayo haraka (BRT) ili kurahisisha usafirishaji

Vigezo hivyo viliibua miradi ifuatayo:-​

i) Ujenzi barabara za mlisho (feeder roads) zenye urefu wa kilometa 65.6 katika Manispaa zote za Jiji ili kupunguza changamoto za msongamano;
ii) Ujenzi wa mitaro ya kutiririsha maji ya mvua yenye urefu wa kilometa 31.8 katika maeneo ya mto Ng’ombe, Msimbazi, Gerezani Creek, Yombo na Kwashego ili kutatua changamoto za mafuriko
iii) Kupandisha hadhi makazi yaliyopangwa kiholela katika Kata 14 za Tandale, Mburahati, Mwananyamala, Gongo la Mboto, Kiwalani, Ukonga, Keko, Kilakala, Mbagalakuu, Mbagala, Mtoni, Yombo Vituka, Kijichi na Makangarawe kwa kujenga kilometa 145 kwa kiwango cha lami, kuweka nyenzo za ukusanyaji wa taka ngumu, kujenga mitaro ya kutiririsha maji ya mvua, kuweka taa za barabarani, kujenga njia za watembea kwa miguu, ujenzi wa maeneo ya mapumziko na vituo vya mabasi, ujenzi wa vyoo vya umma na ujenzi wa maeneo ya michezo.
iv) Kuandaa Mpango kabambe wa Mfumo wa Maji ya Mvua na Maji Taka (Storm Drainage and Sewerage Master plan) kwa kushirikiana na DAWASA/DAWASCO ambao utasaidia kupanua wigo wa mifumo kwa asilimia 100% kufikia 2030
v) Kundaa Mpango Mkakati wa kuendeleza Ukanda wa mabasi yaendayo haraka (BRT Corridor Development Strategy). Kwa kushirikisha Sekta Binafsi; kujenga masoko ya kisasa na ya kawaida, kujenga maduka makubwa (shopping malls) na ya kawaida, kuboresha maeneo ya utalii, kujenga maeneo maalum ya maegesho, kuweka njia za waendesha baiskeli na watembea kwa miguu n.k
vi) Kufunga mfumo wa kisasa wa ukusanyaji wa mapato katika Manispaa zote na kuepuka mianya ya kuvuja na ukwepaji wa kulipa kodi.
vii) Kujenga uwezo wa mwitikio wa haraka katika kukabiliana na majanga.

4. Hali ya Utekelezaji​

i) Katika mwaka wa fedha 2015/16 Serikali iliingia Mkataba na Benki ya Dunia wenye thamani ya dola za Kimarekani 300 milioni za utekelezaji wa mradi wa DMDP kwa kipindi cha miaka mitano. Aidha, mfuko wa maendeleo ya nchi za Nordic (NDF) umechangia dola za Kimarekani 5 milioni kwa ajili ya kukabili changamoto za mabadiliko ya tabia Nchi na Serikali ya Tanzania ina changia dola za Kimarekani 25.3 milioni katika mradi huu.

ii) Manispaa za Temeke, Ilala na Kinondoni zimeingia mikataba na Washauri kwa ajili ya usimamizi wa miradi itakayotekelezwa kwa kipindi chote cha miaka mitano.
iii) Katika mwaka fedha 2016/17 utekelezaji wa miradi ya DMDP utaanza kama ifuatavyo:-
ManispaaBajeti kwa Mwaka 2016/17 (Sh.)Kazi zitakazoanza kutekelezwa
Temeke72,804,468,467.00
  • Kujenga barabara za mlisho 14.51km
  • Ujenzi wa mitaro mikubwa 8.9km
  • Ujenzi wa barabara za mitaa 55km
Ilala43,242,117,826.00
  • Kujenga barabara za mlisho 2.84km
  • Ujenzi wa mitaro mikubwa
  • Ujenzi wa barabara za mitaa 55km
Kinondoni63,938,175,211.00
  • Kujenga barabara za mlisho 14.51km
  • Ujenzi wa mitaro mikubwa 8.9km
  • Ujenzi wa barabara za Mitaa 55km
Pamoja na utekelezaji wa miradi hiyo katika ngazi ya Halmashauri za Manispaa, Sekretarieti ya Mkoa itakuwa na jukumu la ushiriki wa pamoja na Ofisi ya Rais TAMISEMI na Manispaa katika maandalizi ya usimamizi wa utekelezaji wa mradi kupitia Sehemu ya Miundombinu.

Uongozi wa Mkoa unawaomba wananchi washiriki kikamilifu na watoe ushirikiano katika utekelezaji wa miradi itakayopita katika maeneo yao, kwani miradi hiyo ni kwa manufaa ya wananchi kwa ujumla lakini pia miradi hii italeta ajira kwa wananchi na itakuza uchumi wa wananchi katika maeneo hayo.

Aidha, kutekelezwa kwa miradi hii itaibadilisha sura ya Jiji la Dar es Salaam na kutoa muonekano ambao Mhe. Rais ameendelea kutilia msisitizo uwepo wa Miji nadhifu iliyopangwa na yenye mandhari nzuri, hivyo natoa wito kwa wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam miradi hiyo itakapokuwa inatekelezwa wailinde na kuitunza kwa maendeleo ya Taifa letu.
 
DMDP

Kuhusu Mradi wa Kuendeleza Jiji la Dar es Salaam (Dar es Salaam Metropolitan Development Project)​

1600935652-Dar-BRT-32-of-32-1.jpg
1. Utangulizi

1600935678-Dar-es-Salaam-Tanzania.jpg

Ina maana sasa hivi hakuna DMP
 
Dogo
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.View attachment 2592031
Dogo soma hapo chini utaona kwa nini jiji linajengeka kwa kutumia mradi wa DMDP..ukipenda fanya tafiti zaidi. Asante na acha uvivu wa kutafiti kabla hujauliza.
 
Hili hua ni swali la kitoto sana lililojaa ushabiki zaid!! Deni la taifa lilivyopanda kipind kile lilikua kwaajil ya nn??
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.

View attachment 2592031
 
Dogo

Dogo soma hapo chini utaona kwa nini jiji linajengeka kwa kutumia mradi wa DMDP..ukipenda fanya tafiti zaidi. Asante na acha uvivu wa kutafiti kabla hujauliza.
Swali ni kwa nini sasa hivi hakuna mradi wowote wa DMP
 
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.

View attachment 2592031
Mnakaa kwenye vijiwe vya kahawa hamjui hizo ni fedha za Benki ya Dunia.
 
Awamu ya tano na CCM chini ya JPM walikuwa wananyima wananchi kupata habari kamilifu zilizojitosheleza. Mfano mradi huu wa DMDP wafadhili ni Benki ya Dunia :
  • Borrower for Project P123134
    United Republic of Tanzania represented by the Ministry of Finance and Planning
  • Total Project Cost 1
    US$ 330.30 million
  • Implementing Agency
    President’s Office – Regional Administration and Local Government

Source : Development Projects : Dar es Salaam Metropolitan Development Project - P123134

July 18, 2019
MRADI WA DMDP kuliboresha jiji la Dar es Salaam, Tanzania

1681823611567.png
Muonekano wa barabara zilizojengwa kupitia fedha za Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia wilayani Temeke.

Ujenzi wa soko kisasa linalojengwa Jijini Dar es Salaam kwa ufadhhili wa mradi wa Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.

1681823770202.png

Na. Lilian Lundo - MAELEZO.
Jiji la Dar es Salaam ni kati ya majiji sita yaliyoko nchini Tanzania, likiwa Jiji la kwanza lenye idadi kubwa ya watu, ambapo kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012 ilikuwa na watu 4,364,541 kati ya watu 44,928,923 nchi nzima.

Kutokana na wingi huo wa watu, Jiji hilo limekuwa na changamoto nyingi kama vile foleni za magari, miundo- mbinu hafifu pamoja na baadhi ya maeneo kuathirika na mafuriko katika kipindi cha mvua.

Serikali ya Awamu ya Tano kwa kushirikiana na Mradi wa Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMDP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia ipo katika utekelezaji wa ujenzi wa miundombinu katika Jiji hilo, ujenzi unaofanyika kwa mafungu kumi ambao ujenzi huo ulianza rasmi mwaka 2016 na unatarajiwa kukamilika mwaka 2020.

Ujenzi unaofanyika ni pamoja na ujenzi wa barabara za lami katika mitaa ya Jiji ambazo zinajengwa sambasamba na mifereji ya maji , taa za barabarani za sola, madaraja, masoko ya kisasa ambayo pia yatakuwa na huduma za kibenki pamoja na vyoo vya umma.

Akizungumza kuhusu mradi huo, mratibu wa DMDP Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni, Mhandisi Mkelewe Masalu Tungaraza amesema ujenzi wa miundombinu unaendelea ambapo mpaka sasa kuna barabara ambazo ziko katika hatua za ukamilishaji kama vile barabara za kuzunguka stendi za Makumbusho na barabara za Shekilango, Sinza

"Tunataka mtu akiwa Dar es Salaam aweze kuchepuka kwenda barabara nyingine, ili kupunguza foleni katika barabara kubwa.Vile vile, taa zitakazojengwa katika barabara hizo zitaimarisha usalama katika maeneo yanayozungukwa na barabara hizo," amesema Mhandisi Tungaraza.

Ameendelea kusema, barabara zitakazojengwa ni suluhisho kubwa kwa maeneo ambayo yalikuwa yanakumbwa na mafuriko kwani barabara hizo zinajengwa sambasamba na mifereje ya maji ya mvua na madaraja kwa maeneo ambayo ni sumbufu.

Mhandisi Tungaraza ametaja maeneo ambayo yatajengwa vyoo vya umma kwa Wilaya ya Kinondoni kuwa ni Tandale, Mburahati na Mwananyamala, ambapo uanishaji wa maeneo hayo umetokana na uhitaji wa huduma hiyo kwa wananchi wa maeneo husika.

Kwa upande wa Mchumi wa Manispaa ya Ubungo, George Maiga amesema mradi wa DMDP unatarajia kujenga soko kubwa na la kisasa Mburahati kwa gharama ya shilingi bilioni. 2.079 ambapo itahusisha Jengo Kuu, eneo la Mama na Baba Lishe, Maliwato, eneo la wafanyabiashara wadogo wadogo , maduka, benki, machinjio ya kisasa na maduka ya kisasa.

"Ujenzi wa masoko haya umetokana na ongezeko kubwa la watu Jijini Dar es Salaam hivyo kusababisha kuzuka masoko mengi yasiyo rasmi katika mitaa," amesema Maiga. Amesema katika gharama hiyo ya mradi, Serikali imetoa shilingi milioni 900 ambayo ilitolewa ili kukamilisha mradi huo badala ya kwenda kukopa benki.Ameeleza kuwa, mara soko hilo litakapokamilika litaongeza mapato ya Halmashauri na wafanyabiashara wadogo wadogo watapata eneo la uhakika la kufanyia biashara.

Aidha, Afisa Mtendaji wa Kata ya Kijichi, Manispaa ya Temeke, Anaclet Hayuka amesema soko linalojengwa Kijichi litakuwa na huduma zote muhimu pamoja na ofisi za maafisa Afya ili kufanya ukaguzi wa bidhaa mara kwa mara."Miaka mitatu ya utawala wa Rais Magufuli wananchi wameanza kuona cheche za maendeleo kupitia mradi wa DMDP," amesema Hayuka.
 
Miradi ya DMDP Uboreshaji Miundombinu inayotekelezwa kwa fedha za Mkopo toka Benki ya Dunia / World Bank
World Bank
https://www.worldbank.org › news
New $300m Development Financing to Improve Key Services for 2 million ...

2 Mar 2015 — The World Bank's Board of Executive Directors has today approved $300 ... the new Dar es Salaam Metropolitan
The World Bank’s Board of Executive Directors has today approved $300 million in credit from the highly-concessional International Development Association (IDA)* for the new Dar es Salaam Metropolitan Development Project (DMPD) that will improve services directly for 1.9 million residents and, indirectly, for the city’s overall population of 4.6 million.

Dar es Salaam, whose population growth rate averaged 5.6 percent between 2002 and 2012, is among fastest growing cities in the world. Services have not been able to keep up with the rapid development – leading to sprawl, growth of informal settlements, congestion, flooding, and constraints to the business environment. The IDA credit will improve the key services to address flooding, urban mobility, and basic infrastructure in low-income communities. DMDP will improve the capacity of local governments to better plan and provide services – while focusing on the growing need to adopt a metropolitan approach to addressing the region’s challenges.

In 15 years Dar es Salaam will be a mega city with a population of over 10 million residents,said Philippe Dongier, World Bank Tanzania Country Director.With more than 800,000 new job seekers entering the market every year, many are ....... source : New $300m Development Financing to Improve Key Services for 2 million People in Tanzania’s Largest City
Kamati ya bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa kutoka Nchini Uganda (PAC-LG) imemwagia sifa Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam unaoendelea kutekelezwa katika Manispaa ya Tano za Mkoa wa Dar es salaam.

Kamati hiyo yenye zaidi ya wajumbe kumi waliotemebelea Mradi wa DMDP unaotekelezwa chini ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa wamesema ni mradi wa mfano na kuigwa na Nchi za Afrika Masshariki zinazopata mkopo wa fedha kutoka
Benki ya Dunia.

Akizungumza katika ziara hiyo ya mafunzo Mwenyekiti wa Kamati hiyo (PAC-LG) Mhe. Ronald Reagan Okumu amesema lengo la ziara yao ni kuona namna ambavyo miradi ya Uboreshaji Miundombinu inayotekelezwa kwa fedha za Mkopo toka Benki ya Dunia;
“Tunapenda kuona ubora wa miradi hiyo, taratibu za ulipaji fidia zilivyofuata, maelekezo ya mkopo wa fedha hizo yalivyozingatiwa na zaidi namna ambavyo fedha zilivyopokelewa, zinavyosimamiwa na wataalamu, zinavyotumika na zinafanyiwa ukaguzi na zaidi suala zima la thamani ya fedha”Value for Money” kuonekana katika miradi hiyo” alisema Mhe. Okumu.

Akipokea ujumbe huo toka Bunge la Uganda Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Josephat Kandege amesema mradi huu umetekelezwa kwa kipindi cha miaka mitatu sasa na mafanikio yaliyopatikana ni makubwa na kwa kiasi kikubwa umesaidia kuwapunguzia kero wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam.

“Karibu mjifunze kwa kuona mtaona barabara zilivyojengwa kwa ubora wa hali ya juu, njia za bora waenda kwa miguu, mifereji yenye viwango ya kusafirishia maji ya mvua, masoko na ofisi za miradi pamoja na maabara za kisasa za kupima ubora wa barabara zinazoendelea kujengwa “ alisema Kandege.

Akielezea Miradi inayotekelezwa chini ya fedha za Mkopo wa Benki ya Dunia Mratibu wa Miradi hiyo toka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Eng. Davis Shemangale amesema kuwa mradi huu unatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitano na unalengo la kuboresha Jiji la Dar es salaam lizidi kuwa bora katika Sekta ya miundombinu, usafiri mjini pamoja na usalama.

Eng. Shemangale aliongeza kuwa mradi huo pia utaboresha makazi bora sambamba na kujenga uwezo wa Kitaasisi pamoja na mifumo stahiki na ya kutosha kutunza kumbukumbu na takwimu itakayosaidia katika Ukusanyaji wa mapato.

Naye mratibu wa mradi wa uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (DMDP) Eng. Emmanuel Ndyamukama amesema Katika awamu ya kwanza ya mradi huu itagharimu jumla ya Dola za Kimarekani Milioni 300 ambazo ni Fedha za Mkopo kutoka Benki ya Dunia.

Aidha
Shirika la Maendeleo la Nchi za Nordic litatoa ruzuku ya dola za kimarekani U$ 5,000,000 kwa ajili ya kukabili changamoto za mabadiliko ya Tabia ya Nchi na huku Serikali ya Tanzania ikichangia takribani Dola za Kimarekani Mil. 25.3 kwa ajili ya kulipa fidia wananchi walioathirika na mradi.

Kamati ya Bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa iko katika ziara ya mafunzo kwa muda wa siku Tano na itatemebela miradi ya uendelezaji wa Jiji la Dar es salaam (DMDP), Mabasi yaendayo haraka (BRT) kasha kuelekea katika Manispaa ya Morogoro ambako watatembelea mradi wa uboreshaji na uimarishaji wa Mamlaka za Miji (ULGSP) kasha kumalizia na Jiji la Dodoma ambako watajione mradi wa Uboreshaji Miji Kimkakati (TSCP).

Naibu Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Josephat Kandege (kushoto) akiwapokea wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa toka Nchini Uganda waliotembela Wizara kuona ubora wa miradi ya DMDP ya Benki ya Dunia inavyotekelezwa.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa toka Uganda (PAC-LG) Mhe. Ronald Reagan Okumu (kulia) akiwa na mjumbe wa Kamati hiyo toka Uganda wakifuatilia kikao na Naibu Waziri wa Tamisemi(hayupo pichani) Mhe. Joasephat Kandege.

Wataalam wanaosimia Miradi ya Benki ya Dunia OR-TAMISEMI pamoja na Kamati ya Bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa toka Uganda wakimskiliza mtaalamu wa maabara ya mradi wa DMDP.

Wataalam wanaosimia Miradi ya
Benki ya Dunia OR-TAMISEMI pamoja na Kamati ya Bunge ya hesabu za Serikali za Mitaa toka Uganda wakimskiliza mtaalamu wa maabara ya mradi wa DMDP
 
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.

View attachment 2592031
Angekuwa kajenga zote shida ya usafiri Dar ingekwisha kabisa so acha uzushi usio na msingi..

Hata hivyo mradi wa DMDP I ambao ni mkopo wa WB ndio ulijenga sehemu kubwa ya Barabara,mradi umekwisha na Ili DMDP II ianzw tena Hadi Tactic imalizike.
 
MPs rap Local Gov’ts over USMID municipality projects​

Reagan%20Okumu.jpg

Posted on:
23 May 2018
Members of Parliament of the Public Accounts Committee (Local Governments) were shocked to learn about Tanzanian local government’ utilisation of Word Bank funding on the urban infrastructural development, compared to what they described as the Uganda’s ‘dismal performance’.
Led by the Chairperson Hon. Reagan Okumu, the legislators were in Tanzania on a bench marking visit to the urban local authorities strengthening projects funded by the World Bank. This is the equivalent of the Ugandan Support Municipal Infrastructure Development Project (USMID). The Committee was in Tanzania from 13 to 19 May 2018.
The Government of Uganda through the Ministry of Lands and Urban Development, acquired a loan of US$150 million from the World Bank to support infrastructural development and capacity building in 14 municipalities.
On seeing the Tanzania’s progress, Okumu had no kind words for Ugandan Officials. He appealed to them to be nationalist and avoid being corrupt so that they can complete projects with a high level of efficiency and value for money.
“We are generally impressed with our Tanzania counterparts; they have gone further and used their money well. They have developed bus terminals connecting to concrete roads, have good asphalt tarmac roads and they have been able to establish laboratories??? and office structures that will be handed over to every municipality after all projects are concluded, “ Okumu said.
Hon. Godfrey Onzima (Aringa North) attributed the Tanzanian success to the proper planning by project implementers and contractors. He commended them for the early preparations and sticking to their plan, which has registered great success in ther first phase.
“Tanzanians know where their country should go and are committed to their work. They stick to and focus on their plans, and that is why their first phase is ending so successfully unlike in Uganda where Soroti, Mbale, Moroto, Tororo and Fort-portal plans were all altered with,” he said.
Hon. Rehema Watongola (NRM,Kamuli Municipality) attributed the successful implementation of the projects to the procurement systems which were fully decentralised, enabling entities to procure different services. She called on the Ugandan government to emulate the same practices.
“In Uganda, the procurement structure is only at the national level, and this cannot give them the opportunity to monitor properly. We hope that the support team in Uganda will be able to structure themselves from the bottom up” she said.
Okumu appealed to the Government and municipalities to adopt the committee recommendations especially as they prepare for the second phase of the World Bank funded projects that will begin in July.
Members of the committee visited Tanzania's Bus Rapid Transport (BRT) in Dar es Salaam, Road works in Morogoro and Revenue enhancement projects in Dodoma, all financed under the arrangement, with the main focus as infrastructure improvement in municipalities, sewerage management, capacity building, availability of tools and equipment in areas of survey and engineering and testing the quality of materials used.
 
Jiji la Dar baada ya miezi mitatu litakua na foleni ka kufa mtu kama serikali haita amka na kuweka mikakati kama iliyo fanyika awamu ya 5.

Awamu ya 5 itakumbukwa kwa kuijenga Dar upya hata maeneo ambayo yalikua yanajulikana si salama kwa kuishi leo ni kama mitaa ya posta.

Swali la kujiukiza, Rais Magufuli alipata wapi fedha hata kuibadirisha Dar kwa kiasi hiki, kutoka mikocheni, buza, sinza , mbagala, etc kwote ni lami na taa zinawaka usiku.

Si hivyo tuu Rais magufuli amejenga miji mingi sana na kuiwekea miundo mbinu ya barabara za kisasa ikiwa na mifumo ya maji, taa etc

Kwa mwendo huu wa awamu ya 6, Dar es saalam litakua jiji linalo ongoza kwa foleni na barabara mbaya , maana watu wanaongezeka na magari yanaongezeka kwa kasi lakini hakuna spidi ya ujenzi wa miundo mbinu ..

Wazo la jerry si zuri alitakiwa aibane serikali iache matumizi yasiyo ya lazima, ijenge barabara.

View attachment 2592031
Ilikuwa ni mkopo wa Benki ya Dunia kabla mashirika ya fedha duniani kumkatia fuse.
 
Back
Top Bottom