Mahakama Yakubali Ombi la Mhasibu Kupinga Uamzi wa Rais Samia Kufukuzwa Kazi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,079
49,786
Harafu Chadema wanakwambia hakuna Demokrasia Wala uhuru wa Mahakama.

Chadema ni hatari sana Kwa upotoshaji waogopwe kama ukoma.

Huyu Mhasibu akishinda kesi atareheshwa kazini na fidia Juu

My Take
Sheria za Utumishi za Tanzania zitazamwe Upya Kwa sababu mtu anaweza Kuiba na Bado akapata Haki.

=======

Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam imeridhia maombi ya aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Pere Muganda kufungua shauri la kupinga uamuzi wa Katibu Mkuu Kiongozi ulioidhinishwa na Rais Samia Suluhu Hassan wa kuridhia kuachishwa kwake kazi.

Uamuzi huo umetolewa na Jaji Abdi Kagomba baada ya kujiridhisha kuwa amekidhi vigezo vya kisheria, katika maombi yake hayo ambayo pia yaliungwa mkono na wakili wa Serikali aliyeiwakilisha Serikali wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo.

“Kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu, nimeridhika kuwa maombi (shauri) yamekidhi viwango vya kisheria kupewa ruhusa ya kufungua shauri la maombi ya mapitio”, amesema Jaji Kagomba kwa tafsiri isiyo rasmi, baada ya kujadili hoja za pande zote na kuhitimisha:

“Kwa hiyo ninatoa kibali kwa mwombaji (Muganda) kuomba amri (za mahakama) kama alivyoomba.”

Muganda alifukuzwa utumishi wa umma na Tume ya Utumishi wa Umma kwa tuhuma za kupoteza fedha za umma, uamuzi ulioungwa mkono na Katibu Mkuu Kiongozi na kuidhinishwa na Rais, Samia Suluhu Hassan.

Mwananchi
 
Hii ndo democracy? Au mandatory power ya judiciary?upima uhuru wa mahakama kwa kesi za kuku?? Wale mafisad waliotajwa na CAG kesi yao ipo mahakama gan??
Ambae Huwa anasema Mahakamani zinapokea maelekezo ya Kisiasa ni nani kama sio nyie machadomo?

Mahakama ingekuwa sio huru na hakuna Demokrasia unadhani huyo mlalamikaji angesikilizwa?
 
Harafu Chadema wanakwambia hakuna Demokrasia Wala uhuru wa Mahakama.

Chadema ni hatari sana Kwa upotoshaji waogopwe kama ukoma.

Huyu Mhasibu akishinda kesi atareheshwa kazini na fidia Juu

My Take
Sheria za Utumishi za Tanzania zitazamwe Upya Kwa sababu mtu anaweza Kuiba na Bado akapata Haki.

=======

Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam imeridhia maombi ya aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Pere Muganda kufungua shauri la kupinga uamuzi wa Katibu Mkuu Kiongozi ulioidhinishwa na Rais Samia Suluhu Hassan wa kuridhia kuachishwa kwake kazi.

Uamuzi huo umetolewa na Jaji Abdi Kagomba baada ya kujiridhisha kuwa amekidhi vigezo vya kisheria, katika maombi yake hayo ambayo pia yaliungwa mkono na wakili wa Serikali aliyeiwakilisha Serikali wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo.

“Kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu, nimeridhika kuwa maombi (shauri) yamekidhi viwango vya kisheria kupewa ruhusa ya kufungua shauri la maombi ya mapitio”, amesema Jaji Kagomba kwa tafsiri isiyo rasmi, baada ya kujadili hoja za pande zote na kuhitimisha:

“Kwa hiyo ninatoa kibali kwa mwombaji (Muganda) kuomba amri (za mahakama) kama alivyoomba.”

Muganda alifukuzwa utumishi wa umma na Tume ya Utumishi wa Umma kwa tuhuma za kupoteza fedha za umma, uamuzi ulioungwa mkono na Katibu Mkuu Kiongozi na kuidhinishwa na Rais, Samia Suluhu Hassan.

Mwananchi
Hakimu anaweza kupigiwa simu moja tu mahakama ya kisutu...kwa mujibuwa rostam aziz!
 
Bro umefikiria kweli umeandika nin?
Hapo hakuna uhuru ni stage tu ndogo ndogo za kuhalalisha wizi wa huyo jamaa yenu kama mlivozoea kisha mje kujinadi mna demokrasia.
Hiyo ni sanaa ya Siasa, Ukiwa shabiki wa pande fulani huwezi ona madhaifu yake Ondoa usisiemu ili hekima iingie kichwani.
 
Harafu Chadema wanakwambia hakuna Demokrasia Wala uhuru wa Mahakama.

Chadema ni hatari sana Kwa upotoshaji waogopwe kama ukoma.

Huyu Mhasibu akishinda kesi atareheshwa kazini na fidia Juu

My Take
Sheria za Utumishi za Tanzania zitazamwe Upya Kwa sababu mtu anaweza Kuiba na Bado akapata Haki.

=======

Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam imeridhia maombi ya aliyekuwa Mhasibu Msaidizi wa Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Pere Muganda kufungua shauri la kupinga uamuzi wa Katibu Mkuu Kiongozi ulioidhinishwa na Rais Samia Suluhu Hassan wa kuridhia kuachishwa kwake kazi.

Uamuzi huo umetolewa na Jaji Abdi Kagomba baada ya kujiridhisha kuwa amekidhi vigezo vya kisheria, katika maombi yake hayo ambayo pia yaliungwa mkono na wakili wa Serikali aliyeiwakilisha Serikali wakati wa usikilizwaji wa maombi hayo.

“Kwa kuzingatia sababu hizo hapo juu, nimeridhika kuwa maombi (shauri) yamekidhi viwango vya kisheria kupewa ruhusa ya kufungua shauri la maombi ya mapitio”, amesema Jaji Kagomba kwa tafsiri isiyo rasmi, baada ya kujadili hoja za pande zote na kuhitimisha:

“Kwa hiyo ninatoa kibali kwa mwombaji (Muganda) kuomba amri (za mahakama) kama alivyoomba.”

Muganda alifukuzwa utumishi wa umma na Tume ya Utumishi wa Umma kwa tuhuma za kupoteza fedha za umma, uamuzi ulioungwa mkono na Katibu Mkuu Kiongozi na kuidhinishwa na Rais, Samia Suluhu Hassan.

Mwananchi
Hoja ni chadema ?, kiini macho cha demokrasia? au uhuru bandia wa mahakama?
 
Anawaeleza kukuta una mke na watoto wanajitegemea maana sio kwa kwa akili ya hovyo hivi
 
Back
Top Bottom