Freeman Mbowe ahudhuria Ibada Maalum katika Kanisa la TAG Kinondoni

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,429
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni .

Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa Kanisa la Kisasa .

Screenshot_2023-10-14-14-14-44-1.png
Screenshot_2023-10-14-14-10-17-1.png
Screenshot_2023-10-14-14-13-53-1.png
 
Mbowe ni KKKT , Lissu ni Mkatoliki .
Kuna mchakato wa kumtangaza Nyerere kuwa ni Mtalatifu (it can take anything up to 1,000 years). Mkatoliki tundu alimentary Nyerere "huyu myakatifu wenu" na Magufuli akasema "anajiita Mkatoliki". Hivi yuko wapi? Bado anawatetea Wamasai wa Loliondo wabaki kuishi porini?
 
Kuwa Muasisi wa ccm tu tayari kumeondoa Nyerere n huo unaoitwa Utakatifu , haiwezekani Mwanaccm kuwa Mtakatifu
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni .

Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa Kanisa la Kisasa .

View attachment 2781758View attachment 2781759View attachment 2781761
Pastor Swai wa TAG kinondoni ni mmoja ya wachungaji wanyenyekevu na wenye maono makubwa katika kumtumikia Mungu.

Mungu ambariki sana
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe , mtu anayetajwa kama muasisi wa siasa za Kisasa kwenye eneo la maziwa Makuu , leo tarehe 14/10/2023 amehudhuria Ibada maalum kwenye kanisa la TAG REVIVAL CHURCH , Kinondoni .

Ibada hiyo Maalum ina lengo la kuweka Jiwe la msingi kwenye Ujenzi wa Kanisa la Kisasa .

View attachment 2781758View attachment 2781759View attachment 2781761
hakuingia akiwa amelewa kweli? though mchungaji wa hapo namjua ni Swai, ni mmachame mwenzie. aokoke sasa sio kutafuta kuungwa mkono kwa kuhudhuria ibada tu, aokoke.
 
Back
Top Bottom