El Roi
JF-Expert Member
- May 29, 2020
- 263
- 502
Nakumbuka wakati Rais ameingia fully kwenye nafasi hiyo, alikuja na salamu iliyokuwa inaanza hivi !Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania" ndipo watu walipoitika " kazi iendelee".
Lakini baada ya muda kidogo, salamu hiyo ilibadilika" Haikuanza tena na Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ........ bali wakati huo na Sasa anatamka Moja kwa Moja... Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ndipo watu huitika " kazi iendelee".
Sikujua na mpaka Sasa sijui kwa hakika with tangible findings kwa nini Rais alibadili gia angani juu ya salamu hii. Hata hivyo,nikiri Mimi binafsi, napendezwa na vile salamu yake ilivyo Sasa na anavyosalimia.. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, basi tunaitikia ...............
Kwangu Mimi salamu hii ilipoanza kutumika, niliona kwa hakika iligubikwa na ukakasi even with no good reasons na ilionekana inaiga (counterfeit) salamu za kiimani. Salamu kama Nawasalimu kwa jina la Yesu, nawasalimu kwa jina la mtume wa mwenyezi Mungu, nk, hizi ni salamu za kiimani (kidini).
Sijui kwa hakika, lakini sauti kutoka ndani yangu (in Paschal Mayala's voice) inaniambia kwa hakika kwamba "Rais hakutaka mgongano huo na salamu za kiimani, na aliepuka kuifanya hii salamu kuonekana kama imeiga salamu za kiimani na hivyo kuonekana anazipa hizo salama za kiimani uzito sawasawa na hii salamu yake". (Kumbuka mambo ya kiimani hufanywa supreme juu ya jambo jingine lolote unapotokea mgongano, hivi ndo tumekuzwa kuamini).
Na Nina hakika baadhi ya viongozi wa dini hawakuwa na furaha sana na hii salamu kama ilivyokuwa inatajwa mwanzoni. (Ilionekana kama inaifanya jamhuri ya muungano kuwa sawa (at par) na majina ya mitume.
Nimshukuru sana Rais kwa style mpya aliyokuja nayo na ambayo kwa kweli inapendeza na inasikika vizuri masikioni.
Tatizo ninaloliona ambalo nashangaa kwa Nini liwepo, ni namna ambavyo watu wengine, wakiwemo viongozi na chawa , wanavyoendelea kutumia ule mtindo wa kwanza wa kusalimia, ambao mwanzilishi wa salamu na kiongozi wetu mkuu ameishauacha.
Ombi la andiko hili ni kutaka kuwaomba watumiaji wa hii salama kumfuata Rais anavyoianza salamu kwa sasa. Na hii ni kwa sababu ukiachia uanzilishi wa hii salamu, yeye ni supreme kwetu wengine wote. Anavyosalimia Sasa ndiyo mwongozo (precedence) dhidi ya utumiaji wa salamu hii.
Kwa Nini hatujui walau kutambua (discerning) jambo rahisi kama hilo?
Kwa andiko hili niwataarifu watumiaji wa salamu hii kwamba, " Rais alitegemea kwamba mpaka Sasa watu wangekuwa wamegundua kwamba namna ya kusalimia ilishabadilika tofauti na alivyoanza."
Salamu sasa ni Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" kazi iendelee" na siyo Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania" kazi iendelee (wote).
Andiko hili pia litusaidie watanzania kuwa watafiti, watambuzi, na watu ambao Wana makali ya ufahamu wa wakati. (To be curious, discernful/sensitive, and sharp edged knowledgeable)
Tanzania imekuwa jamii inayobadilika kidogokidogo sana kwa sababu ukweli usemwe " we are not that much curious,sensitive and sharp edged knowledgeable".
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.........kazi iendelee.
Usiku mwema my fellow citizens.