TBC acheni ukada tupeni vitu kama hivi ili mpate watazamaji wengi

Huyaa Dr

JF-Expert Member
Jan 12, 2023
306
808
Katika kuangalia chanel's mbalimbali nimejikuta nipo TBC, nikakutana na makala madhubuti inayohusu ukombozi wa Msumbiji.

Nikiri ni makala inayofundisha mengi kuhusu uhuru wa Msumbiji, mahusiano ya wanamsumbiji na watangayika na Samora na Julius.

Sijui Viongozi wa leo tutawakumbuka Kwa lipi.

OMBI: TBC acheni ukada tupeni vitu kama hivi ili mpate watazamaji wengi.
 
Mkuu acha uongo, kwani hiyo television ya TBC Bado Iko hai?!
 
Katika kuangalia chanel's mbalimbali nimejikuta nipo TBC, nikakutana na makala madhubuti inayohusu ukombozi wa Msumbiji.

Nikiri ni makala inayofundisha mengi kuhusu uhuru wa Msumbiji, mahusiano ya wanamsumbiji na watangayika na Samora na Julius.

Sijui Viongozi wa leo tutawakumbuka Kwa lipi.

OMBI: TBC acheni ukada tupeni vitu kama hivi ili mpate watazamaji wengi.
Makala kama hizo zinachochea na kuhamasisha mapinduzi ya kijeshi hazifai na ni hatari kwa born in 2000's, wanajifunza namna ya kukabiliana na serikali,

wanachojua wao mkoloni ni serikali na ndio maana wamesota na shule hawana ajira...

Mi nadhani vipindi vya midundo ampiano, kwaito na miziki ya rage iongezwe ili kuwafariji vijana hawa wenye ugumu wa maisha na machungu ya kuwa unemployed through out their life time....
 
Daqay mu ala'agigima xaye,kama mbwai mbwai acha wapindue tu
 
Katika kuangalia chanel's mbalimbali nimejikuta nipo TBC, nikakutana na makala madhubuti inayohusu ukombozi wa Msumbiji.

Nikiri ni makala inayofundisha mengi kuhusu uhuru wa Msumbiji, mahusiano ya wanamsumbiji na watangayika na Samora na Julius.

Sijui Viongozi wa leo tutawakumbuka Kwa lipi.

OMBI: TBC acheni ukada tupeni vitu kama hivi ili mpate watazamaji wengi.
Ila nawewe unamoyo ukakaa unaangalia Tbc kweli!
 
Katika kuangalia chanel's mbalimbali nimejikuta nipo TBC, nikakutana na makala madhubuti inayohusu ukombozi wa Msumbiji.

Nikiri ni makala inayofundisha mengi kuhusu uhuru wa Msumbiji, mahusiano ya wanamsumbiji na watangayika na Samora na Julius.

Sijui Viongozi wa leo tutawakumbuka Kwa lipi.

OMBI: TBC acheni ukada tupeni vitu kama hivi ili mpate watazamaji wengi.
Jua lishakuchwea unasubiri kufa tu.. tulia
 
Hivi TBC ndio ile runinga inayotangazia jikoni? Kama ndio hao waliobadilisha studio kuwa jiko ....hamna kitu pale!. 😲
 
Katika kuangalia chanel's mbalimbali nimejikuta nipo TBC, nikakutana na makala madhubuti inayohusu ukombozi wa Msumbiji.

Nikiri ni makala inayofundisha mengi kuhusu uhuru wa Msumbiji, mahusiano ya wanamsumbiji na watangayika na Samora na Julius.

Sijui Viongozi wa leo tutawakumbuka Kwa lipi.

OMBI: TBC acheni ukada tupeni vitu kama hivi ili mpate watazamaji wengi.
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Back
Top Bottom