Mwalimu Mwakasege: Hata kama haukubaliki kisiasa endelea kuomba Mungu atakusikia

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Katika siku ya mwisho ya mkutano wa Injili jijini Mbeya wa Huduma ya Mana Mwalimu Mwakasege awaambia wana Mbeya hata kama haukubaliki kisiasa endelea kuomba Mungu atakusikia.

Ni ujumbe muhimu sana kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu 2025.

Kwako Sugu, Mdude, Daktari na Wakili Mwabukusi ๐Ÿ˜„๐Ÿ”ฅ.
 
Katika siku ya mwisho ya mkutano wa Injili jijini Mbeya wa Huduma ya Mana Mwalimu Mwakasege awaambia Wana Mbeya Hata kama haukubaliki kisiasa endelea kuomba Mungu atakusikia

Ni ujumbe muhimu sana kuelekea Uchaguzi wa Serikal za mitaa na Uchaguzi mkuu 2025

Kwako Sugu, Mdude, Daktari na Wakili Mwabukusi ๐Ÿ˜„๐Ÿ”ฅ
Kwahiyo uono wako ni kwamba Tulia(daktari) pekee ndiye anayekubalika!
 
Katika siku ya mwisho ya mkutano wa Injili jijini Mbeya wa Huduma ya Mana Mwalimu Mwakasege awaambia Wana Mbeya Hata kama haukubaliki kisiasa endelea kuomba Mungu atakusikia

Ni ujumbe muhimu sana kuelekea Uchaguzi wa Serikal za mitaa na Uchaguzi mkuu 2025

Kwako Sugu, Mdude, Daktari na Wakili Mwabukusi ๐Ÿ˜„๐Ÿ”ฅ
Upuuzi
 
Back
Top Bottom