MANKA MUSA
JF-Expert Member
- Jul 9, 2014
- 922
- 1,093
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan leo October 15,2023 ameweka Jiwe la Msingi kwenye Ujenzi Wa Barabara ya kiwango Cha lami kutoka Mkiwa-Itigi-Noranga yenye Urefu wa Km 56.9 inayojemgwa na Mkandarasi wa kampuni ya CHICO chini ya Usimamizi wa TANROAD ambapo ujenzi wake utagharimu Shilingi Bilion 67.2.
Mradi huo ni sehemu ya kilometer 413 kutoka Makongolosi-Rungwa-Mkiwa ambapo Serikali inajenga Barabara hiyo kwa awamu tofautitofauti Ili kuunganisha mikoa ya Singida, Tabora na Mbeya.
Mradi huo ni sehemu ya kilometer 413 kutoka Makongolosi-Rungwa-Mkiwa ambapo Serikali inajenga Barabara hiyo kwa awamu tofautitofauti Ili kuunganisha mikoa ya Singida, Tabora na Mbeya.