Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna majimbo ambayo tunapaswa kuwainua wananchi kwa kuwapelekea sukari na maziwa na majimbo ambayo tunapaswa kupeleka miradi kuboresha miundombinu hili uzalishaji ukue Jimbo la kawe ni jimbo la...
3 Reactions
7 Replies
989 Views
Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa! Ni watu wanafiki kupindukia katika bara la Afrika huenda tunaongoza! Watu wamedondoshwa! Tukaishia kukusanya madumu ya machozi! Meli zinatengenezwa...
5 Reactions
10 Replies
865 Views
Ya kwamba Lissu yuko korokoroni, kwa makosa gani sasa Ya-Rabi? Lissu si ndiye huyu? Tutupie video zake kama kumbukumbu za mwana wa nchi hii aliye mzalendo kweli kweli. Lissu hapaswi kuwa...
15 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika moja ya mikutano ya wanaharakati na wasomi (nimepoteza clip) lakini Ulimwengu alisema maneno haya: "Kwa miaka mitano nchi hii imepitia kipindi kigumu mno maana alikuwepo mtu pale kwenye...
11 Reactions
11 Replies
2K Views
Sheria zetu zinatamka wazi kuwa mtu anayesaidia uhalifu kutendeka, ni mhalifu. Sasa tuna chama ambacho uovu wake dhidi ya wananchi hauelezeki, na kuna watu ama wanakiunga mkono kwa kuwa wanachama...
1 Reactions
0 Replies
462 Views
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio...
28 Reactions
245 Replies
20K Views
Nchi za SADC na EAC zina mfumo wa kidemokrasia na zinatumia katiba somehow inayoendana na Tanzania. Zina sheria na kuna wapinzani ambao baadhi yao wameweza hadi kuongoza nchi mfano Zambia. Lakini...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Ngorongoro si gereza. Kamata kamata inayoendelea huko haina tija kwa Taifa hili: Zaidi sana inaiweka serikali hii matatani. "Haya ni ya kukemea bila kujali itikadi." Haki za kila mtu...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu...
16 Reactions
128 Replies
5K Views
Utawala wa Mabavu ni Ule unaoingia madarakani kwa Nguvu na kutupilia Mbali misingi ya Demokrasia na Utawala bora Tanzania hatujawahi kupitia Utawala wa namna hiyo Nawatakia Dominica Njema 😄
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana Na Profesa J Nyumbani Kwake KaweHomeHabari HABARI Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana Na Profesa J Nyumbani Kwake Kawe LAST UPDATED...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana JF. Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM. Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma...
2 Reactions
0 Replies
687 Views
Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa...
11 Reactions
65 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa...
5 Reactions
117 Replies
5K Views
Tatizo kubwa kwa sasa nchini Tanzania ni uhaba wa wanasiasa wakweli, waadilifu na wazalendo kwa nchi yao. Hivyo kuna kundi kubwa sana la watanzania ambao hawajui hata washike wapi au wamuamini...
1 Reactions
5 Replies
522 Views
Sheikh Mussa Kundecha asimulia kashikashi nyingi alizopitia akiwa mwanaharakati Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=rDaa_3GLI2Y& Kiongozi wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Na mimi nikiwemo,Watanzania sisi ni waoga sana aisee,Uoga wetu siufananishi na chochote kile ila ni ni uoga wa kiwango hasa,Uoga wetu ni advantage kubwa sana kwa watesi na waonevu. Hakuna kitu...
1 Reactions
1 Replies
416 Views
Wakuu na wajuzi wa mambo naomba kuuliza swali. Binafsi tangu nimepata akili zangu, sijawahi ona hata maandamano moja iliyoitishwa ama kuratibiwa kwa ajili ya kuishinikiza Serikali ama kulaani...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Tangu awamu ya 6 imeanza Waarabu wanaitafuta Tanganyika kwa kila hali.
13 Reactions
103 Replies
10K Views
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni...
16 Reactions
83 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…