TBC wamekata matangazo ya Bunge kuficha Sheria ya Manunuzi inayoruhusu Serikali kununua ndege, treni na meli za mitumba?

Stuka

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
214
686
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.

Sheria hii ikipita iko siku taifa litakuja kuomboleza msiba mkubwa utakaosababishwa na maamuzi ya leo pale Meli zitapakuja kuzama, ndege kuungua angani, treni kuua watu wakati huo Mwigulu yuko zake ughaibuni hayuko tena tanzania. Sisi familia zetu zinakwenda kupoteza maisha kwa maamuzi ya leo kisa tu watu wamekula rushwa kufanya maamuzi hayo.

Hii Sheria ni moja ya Sheria mbovu na iliyojaa mazingira ya rushwa kwa watu wachache wenye madaraka kwa sasa kina mwigulu na washirika wake.

Tuliombee taifa letu tuko kwenye hatari kubwa.

Mbaya zaidi Bunge haliko live kwenye TV ili watanzania wasijue kinachojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
 
Waziri anateuliwa na rais, hawezi jiamlia lolote kinyume na mteuzi.
 
Kuna mambo ukituliza kichwa in deep unagundua kwanini baadhi ya taasisi huwa baada ya kumaliza zoezi zima la kujikana nafsi mnaambiwa NI MARUFUKU KABISA KUSIKIA MNAJIHUSISHA NA SIASA.

ule mzigo kuna watu unawabeba sana na kuumiza wengine ndiyo hadi tunafikia huku.
 
Hao wajinga hawajielewi, nguo za mitumba NO, ndege za mitumba YES.

Umaskini mbaya sana, huwezi kuwa na msimamo.
Nguo mitumba ni kwa ajili ya waswaga lami,ndege mitumba,treni mitumba ni za waswaga lami,zikija mpya ni za daraja wapitisha mswaada na wapitishia sheria yenyewe 🤔🤔🤸🤸🤸🚶🏃🏃😂😂😂😂
 
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.

Sheria hii ikipita iko siku taifa litakuja kuomboleza msiba mkubwa utakaosababishwa na maamuzi ya leo pale Meli zitapakuja kuzama, ndege kuungua angani, treni kuua watu wakati huo Mwigulu yuko zake ughaibuni hayuko tena tanzania. Sisi familia zetu zinakwenda kupoteza maisha kwa maamuzi ya leo kisa tu watu wamekula rushwa kufanya maamuzi hayo.

Hii Sheria ni moja ya Sheria mbovu na iliyojaa mazingira ya rushwa kwa watu wachache wenye madaraka kwa sasa kina mwigulu na washirika wake.

Tuliombee taifa letu tuko kwenye hatari kubwa.

Mbaya zaidi Bunge haliko live kwenye TV ili watanzania wasijue kinachojadiliwa na kupitishwa na Bunge.
Ukute wanafanya hivyo kwa lengo la kujustify mitumba ya escape from sobibo waliyonunua na zitakazofuata.
 
Utakuja kuona maajabu zaidi wakikuambia bei ya hiyo mitumba, utakuta ni zaidi ya bei ya Mali mpya kabisa, tayali watu wamekula Chao cha juu hamtaki hamieni burundi
kulanina, corona irudi tena isombe wale washenzi pale juu
 
Back
Top Bottom