Watanzania sisi ni waoga sana,hii advantage kwa waonevu

SOVIET UNION

JF-Expert Member
Sep 2, 2017
455
1,283
Na mimi nikiwemo,Watanzania sisi ni waoga sana aisee,Uoga wetu siufananishi na chochote kile ila ni ni uoga wa kiwango hasa,Uoga wetu ni advantage kubwa sana kwa watesi na waonevu.
Hakuna kitu kinawapa nguvu watesi kama uoga wa Watanzania.

Siku uoga ukitutoka ndio itakuwa mwisho wa waonevu.

Kwa wenzetu kukamata viongozi wao wa Upinzani huwa watawala wanajipanga sana,angalia Juzi kati kule Senegal kilicho tokea.
 
Back
Top Bottom