Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salaàm! Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi. Sasa hata kama...
4 Reactions
78 Replies
5K Views
Acha zako bana👇. Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Rais Samia kashafanya mambo mengi sana tena mengi mno. Lakini hili la kukashifu katiba ya nchi is beyond the red line. Katiba ndiyo kitabu chetu kitakatifu kwa watanzania amabacho...
18 Reactions
70 Replies
5K Views
Soma Shairi ilo Mlikuwa wapi? Enyi wasomi Mlikuwa wapi? Uhuru wetu ukiminywa Mlikuwa wapi? Mliosoma kwa jasho letu Mliopanda ngazi kupitia mabega zetu Mlikuwa wapi? Ardhi yetu ikiporwa...
2 Reactions
1 Replies
674 Views
Ni kweli CHADEMA kunafukuta Chadema Kuna Mgogoro Kati ya Lissu na Mbowe !! Lakini pia tusisahau kuwa kuna migogoro mingine [emoji116] Kuna mgogoro kati ya Lema na Mbowe, hali inamfanya Lema...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiongozi mmoja wa CCM amesema taarifa za kiintelejensia ya Siasani zimethibitisha kuwa Chadema imemeguka Vipande Viwili yaani Chadema Ufipa st na Chadema Mikocheni Kiufupi Chadema si Wamoja tena...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Na ieleweke hivyo,ameyasema hayo tena kwa kurudia.wakati akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa washiriki wa Club House jana. Ni baada ya tangazo la la serikali kumvua hadhi ya ubalozi...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
SERIKALI ya Marekani imeahidi kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, kama Tanzania itakubali kupokea msaada huo. Taarifa hiyo imetolewa leo Alhamisi, tarehe 12 Mei...
13 Reactions
150 Replies
13K Views
Huko nyuma tuliwahi kumchambua Tundu Antipas Lissu na kuhitimisha siyo presidential material. Amekuwa akiropoka ropoka hovyo bila kupima athari za kauli zake na mbaya zaidi mbali ya kunyanyapaa...
15 Reactions
160 Replies
8K Views
Askofu Bagonza: Kuhusu Katiba mpya tayari maoni ya Wananchi yalishakusanywa na Tume ya Jaji Warioba na Kikosi Kazi cha Prof Mkandala kimejazilizia, tuanzie hapo. Askofu Mwamakula: Ni muhimu...
15 Reactions
21 Replies
3K Views
Wengine wamechipuka tu, wakaona dunia ndio hii hapa, wakawa kama kipofu kaona jogoo, kila unachomwambia, kama jogoo? Kama jogoo? Kumbe aliona jogoo macho yakafumba tena, kwa hiyo anachokijua...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Akichangia Mjadala Katika Kipindi cha Minzani Kilichorushwa mubashara na TBC Kilichowajumuisha pia Shehe Salim Aliyekuwa Shehe mkuu Wa Dsm, Hamadi Rashid M/kiti Wa ADC na Mkongwe Steven Wasira...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Mmewakamata asubuhi kwa makosa ya usalama barabarani, Yes ni sahihi kabisa, lakini kwanini mnafanya oparesheni kwa matukio. Leo mmeendesha oparesheni ya kihuni kwa kisingizio kwamba mwenzao Jana...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Kodi za Mtanzania hazijawahi kuheshimiwa na hii kwa kuwa kitabu alichokiita mama kinatoa Mwanya huo. Ukiangalia katiba ya JMT ibara ya 137.-(1) Rais atatoa maagizo kwa watu wanaohusika kuandaa na...
2 Reactions
2 Replies
696 Views
Kwema Wakuu! Nimeona tujadili Jambo hapa kuhusu baadhi ya kauli za Watu hasa viongozi wa kisiasa wanaposema vitabu vitakatifu, sijajua wanazungumzia vitabu vipi. Na hivyo vitabu...
0 Reactions
1 Replies
553 Views
LIPUMBA MWAMBA SIASA ZA TANZANIA Nisiwachoshe wadau picha inajieleza huyu hapa msomi mahiri na mwamba wa siasa upinzani wa kweli acha hawa wengine wanaropoka ovyoovyo tu. Viva Lipumba, viva Tanzania.
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Nchi hii ina MAAJABU, Tunatarajia kuwa na DARASA la Watu MIL.62 kwa Muda wa Mìaka 3 kusomea KATIBA haya ni MAAJABU MAKUBWA kupata kutokea. KATIBA ILIYOPO hakuna hata MTANZANIA mmoja alienda...
1 Reactions
1 Replies
776 Views
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, leo Septemba 12, 2023 amezungumzia wajibu wa familia na jamii kwenye kudhibiti mmomonyoko wa maadili dhidi...
4 Reactions
60 Replies
4K Views
Wakati akiwa anahitimisha kutoa neno leo katika yake katika mkutano maalum wa vyama vya siasa leo tarehe 13/9/2023 ambapo ni siku ya tatu, Bwana Deus Kibamba alisema; "Mh. Mwenyekiti naomba...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Rais wa Awamu ya 4 na Mwenyekiti wa CCM Alianzisha Mchakato wa kuwapatia WATANZANIA KATIBA MPYA na hoja KUBWA ikiwa ni Kutokana na Mambo mengi Yamebadilika yanahitaji pia Mabadiliko ya Kikatiba...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…