Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Idadi ya watu ndio inapaswa kuwa kipimo cha ubunge. Sio Halmashauri au eneo tu la kijiografia kwa sababu mbunge anapaswa kuwakilisha wapiga kura na wapiga kura wote wanapaswa kuwakilishwa kwa...
2 Reactions
4 Replies
530 Views
Serikali ya Tanzania imeanza kuwajengea uwezo mawakili wake ili kuzikabili kesi zitakazojitokeza baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mafunzo kwa...
1 Reactions
1 Replies
751 Views
Baada ya tamko la Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu maazimio ya Kamati Kuu ya Chama kuitisha maandamano ya amani tarehe 24 Januari, 2024 Jijini Dar Es salaam...
10 Reactions
66 Replies
39K Views
Nimemsikia Bw Makonda akidai Ameyakataa MASHARTI yaliyotolewa na CHADEMA yatakayotumika katika MDAHALO na kudai Eti CHADEMA wamekimbia. Najiuliza: Je, ni nani kati ya Bw. MAKONDA na CHADEMA...
1 Reactions
7 Replies
713 Views
Ukiacha na huu upuuzi wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam wa kuwataka wanajeshi wafanye usafi mitaani ili kukabiliana na maandamano ya CHADEMA jambo litakalo wapa credit CHADEMA nje na ndani ya nchi...
1 Reactions
0 Replies
445 Views
Habari ndugu na marafiki, Ingawa ofisi ya chama physically haikuwa tatizo kwetu, tulitaka kwanza kupanda mbegu ya itikadi ya chama mioyoni mwa watanzania na tumefanikiwa vizuri sana. Torati ya...
12 Reactions
20 Replies
1K Views
Serikali inajaribu kukuza mambo ambayo yanatakiwa kuwa utamaduni wa kawaida. Maandamano ni sehemu ya demokrasia na maandamano sio fujo ni haki ya kujieleze. Badala ya kujaza Polisi wa wanajeshi...
1 Reactions
2 Replies
405 Views
Hili ni moja la wazo la kipuuzi kupata kulisikia toka kwa kiongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo. "Aina za Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna aina kadhaa za Wabunge kwa...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Leo Makonda ameita vyombo vya habari, ameeleza mengi kuhusu kauli ya Mbowe kuhusu kujiondoa kwenye maridhiano. Amedai Mbowe ni mnufaika wa maridhiano na kwamba kama siyo maridhiano angekuwa yupo...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Mimi nikiwa namba moja wa kujitolea kufanya kampeni hizo za kiinjilisiti, ambapo zitakuwa za nyumba hadi nyumba, mtu hadi mtu Kampeni aina hiii huvuna wanachama kwa wingi, na uhakika wa kuwafikia...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Binafsi ninaona Majimbo ya uchaguzi ni mengi mno hivyo ninaishauri Serikali kupunguza majimbo ya uchaguzi kwa ushauri ufuatao: Jumla ya Halmashauri zote katika nchi hii ni 184 basi kwa mantiki...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Sisi wana umoja wa usafi Dar es Salaam naomba tuweke wazi Inasemekana kuna chama kilipanga maandamano kwa bahati mbaya ikagongana na siku ya usafi tunaomba tuwajulishe hata wakihairisha sisi...
0 Reactions
0 Replies
541 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Paul Makonda Mwamba na katibu wa itikadi, uenezi na mafunzo wa CCM Taifa ameendelea kuwa mfano wa kuigwa na kuwa kiongozi anayeteka hisia za watu wengi sana...
7 Reactions
92 Replies
13K Views
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Simiyu Ester Midimu ametoa Baiskeli zaidi ya 400 na majiko ya Gesi zaidi ya 400 kwa viongozi wa Kata kupitia Umoja wa Wanawake (UWT) wa mkoa huo ili kuwawezesha...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari. Kutokana na yanayoendelea nchini kwetu. Kuanzia Tanesco, Dawasco. Masuala ya ajira. Rushwa zisizoeleweka. Upotevu wa fedha na Tozo zisizo na kichaa. Inamuhitaji mtanzania asiye na...
3 Reactions
8 Replies
491 Views
Katibu Mkuu wa CCM Dr Nchimbi amesema yeye anajulikana kwa misimamo yake na kama hawapendi misimamo basi wamuondoe tu mapema kabisa Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili...
23 Reactions
128 Replies
27K Views
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wametakiwa kuchagua Viongozi bora wenye weledi wa kusimamia maslahi ya Wafanyakazi na wanaoweza kuendesha Baraza kwa tija...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
''Msimamo wetu bado ni huo, kutokana na mazingira tuliyopitia mwaka 2019 na mwaka 2020 yalitudhihirishia wazi kwamba hatutashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu (2024) kutokana na yale...
4 Reactions
42 Replies
2K Views
Hatimaye CHADEMA imeamua kukata mzizi wa fitina kwa kuanika hadharani kila neno lililomo kwenye Nyaraka za Maridhiano yaliyovunjika baada ya CCM kuweka mpira Kwapani. Kauli hiyo Thabiti imetolewa...
23 Reactions
52 Replies
4K Views
Ukifuatilia Historia za vyama vikuu vya upinzani Tanzania vingi huwa vinaibuka na kupotea kama mvua za msimu, havidumu. Vyama vikubwa vingi vya upinzani Tanzania viliundwa mwaka 1992. NCCR...
1 Reactions
4 Replies
663 Views
Back
Top Bottom