Kati ya Makonda na CHADEMA ni nani alitaka mdahalo?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,043
Nimemsikia Bw Makonda akidai Ameyakataa MASHARTI yaliyotolewa na CHADEMA yatakayotumika katika MDAHALO
na kudai Eti CHADEMA wamekimbia.

Najiuliza:
Je, ni nani kati ya Bw. MAKONDA na CHADEMA aliyeutaka MDAHALO?

Je MASHARTI waliyoyatoa CHADEMA ni MAGUMU kiasi gani mpaka MAKONDA na UJUAJI wake AYAOGOPE?

Kama yeye Bw MAKONDA kayashindwa hayo MASHARTI kwanini CHADEMA wawe WAMEKIMBIA wakati MAKONDA ndio KAYASHINDWA MASHARTI?

ALIYEKIMBIA ni MAKONDA na SIO CHADEMA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hakuna masharti yoyote yaliyotolewa na CHADEMA.

Tatizo ni uelewa mdogo wa Makonda na kushindwa kusoma taarifa ya Chadema kuhusu mdahalo.

Walichofanya Chadema ni kuweka HOJA zao mezani, na kueleza kuwa wako tayari zijadiliwe ktk mdahalo.

Makonda alisoma taarifa ya Chadema kienyeji na kwa uelewa wake mdogo akatafsiri kuwa amepewa masharti.
 
Nimemsikia Bw Makonda akidai Ameyakataa MASHARTI yaliyotolewa na CHADEMA yatakayotumika katika MDAHALO
na kudai Eti CHADEMA wamekimbia.

Najiuliza:
Je, ni nani kati ya Bw. MAKONDA na CHADEMA aliyeutaka MDAHALO?

Je MASHARTI waliyoyatoa CHADEMA ni MAGUMU kiasi gani mpaka MAKONDA na UJUAJI wake AYAOGOPE?

Kama yeye Bw MAKONDA kayashindwa hayo MASHARTI kwanini CHADEMA wawe WAMEKIMBIA wakati MAKONDA ndio KAYASHINDWA MASHARTI?

ALIYEKIMBIA ni MAKONDA na SIO CHADEMA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Huyo ana stress ys kulenewa na yale makalio kwani alitoa hela nyingi kwenda kuyapunguza badala yake yanazidi kuumuka
 
Back
Top Bottom