Chama changu CHADEMA huu ni muda wa kuwekeza nguvu na kuanzisha chombo kikubwa cha habari cha chama

Poa 2

JF-Expert Member
Jul 7, 2019
1,294
1,288
Habari ndugu na marafiki,

Ingawa ofisi ya chama physically haikuwa tatizo kwetu, tulitaka kwanza kupanda mbegu ya itikadi ya chama mioyoni mwa watanzania na tumefanikiwa vizuri sana. Torati ya musa ilikuja kabla ya mahekalu, injili ya bwana yesu ilikuja kabla ya makanisa na korani ya mtume Muhammed ilikuja kabla ya misikiti.

Tuna wanachama wa kutosha kuliko hata chama cha mabunduki(Ccm) tuna mfumo wa kidijitali wa usajili wananchi wanajisajili kwa hiari.

Chama kina mtandao mkubwa wa wanachama mpaka ngazi ya vitongoji na mitaa, tuna uongozi na viongozi werevu, tuna platforms nyingi za kupashana habari nchi nzima na duniani kote.

Tunakubalika kuliko chama chochote nchini hatusombi wanachama kwenye malori ya mkaa ili kujaza viwanja vya wanasiasa kama kile chama cha mambuzi cha kale.

Chama chetu ni cha haki na demokrasia kinajengwa na wananchi wenyewe kwa hiari na si kwa wizi wa kodi za watanzania maskini. Ruzuku ya mchongo haijawahi kutufikisha popote.

Pamoja na mambo mengine mengi mazuri tunayojivunia kama chama kwa nia njema kabisa huu ni wakati wa kufanya juu chini hata kwa kuchangishana wanachama, wananchi na wadau wetu tuwe na chombo kikubwa kabisa cha habari za ndani na kimataifa ili kuendana na ulimwengu wa sayansi na teknolojia.

Kwa kufanya hivi tutakuwa tumewaacha mbali hawa wapinzani wetu wa kianalogia, ambao viongozi wao wana akili na fikra mgando za miaka 1600's ndio maana wameshindwa kuivusha nchi kutoka kwenye ujinga, umaskini na maradhi kwa miaka mingi. Kwa sasa ni kama ujinga, umaskini na maradhi kwa watanzania ni turufu yao.

Tuwekeze nguvu kubwa katika kuichukua dola kutoka kwa hawa majizi, pia tuwekeze nguvu kubwa katika kukijenga chama na wanachama kiuchumi ili tuwe mfano wa kuigwa kwa watanzania. Ikiwezekana chama kiwe na microfinancies zake na hata banks zake tukopeshe wanachama kwa sera nzuri ili wainue vipato vyao.

Ni ukweli kwamba hata tukiwa na sera na itikadi nzuri bila kuwa na uchumi mkubwa na vyombo vikubwa vya habari kukitoa hiki chama cha majizi ya pesa zote za wananchi itakuwa ni shughuli ngumu zaidi.

Ahsanteni.
 
Viongozi wamekusikia Mkuu.

TEGEMEA LOLOTE KUANZIA SASA.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Habari ndugu na marafiki,

Ingawa ofisi ya chama physically haikuwa tatizo kwetu, tulitaka kwanza kupanda mbegu ya itikadi ya chama mioyoni mwa watanzania na tumefanikiwa vizuri sana. Torati ya musa ilikuja kabla ya mahekalu, injili bwana yesu ilikuja kabla ya makanisa na korani mtume Muhammed ilikuja kabla ya misikiti.

Tuna wanachama wa kutosha kuliko hata chama cha mabunduki(Ccm) tuna mfumo wa kidijitali wa usajili wananchi wanajisajili kwa hiari.

Chama kina mtandao mkubwa wa wanachama mpaka ngazi ya vitongoji na mitaa, tuna uongozi na viongozi werevu, tuna platforms nyingi za kupashana habari nchi nzima na duniani kote.

Tunakubalika kuliko chama chochote nchini hatusombi wanachama kwenye malori ya mkaa ili kujaza viwanja vya wanasiasa kama kile chama cha mambuzi cha kale.

Chama chetu ni cha haki na demokrasia kinajengwa na wananchi wenyewe kwa hiari na si kwa wizi wa kodi za watanzania maskini. Ruzuku ya mchongo haijawahi kutufikisha popote.

Pamoja na mambo mengine mengi mazuri tunayojivunia kama chama kwa nia njema kabisa huu ni wakati wa kufanya juu chini hata kwa kuchangishana wanachama, wananchi na wadau wetu tuwe na chombo kikubwa kabisa cha habari za ndani na kimataifa ili kuendana na ulimwengu wa sayansi na teknolojia.

Kwa kufanya hivi tutakuwa tumewaacha mbali hawa wapinzani wetu wa kianalogia, ambao viongozi wao wana akili na fikra mgando za miaka 1600's ndio maana wameshindwa kuivusha nchi kutoka kwenye ujinga, umaskini na maradhi kwa miaka mingi. Kwa sasa ni kama ujinga, umaskini na maradhi kwa watanzania ni turufu yao.

Tuwekeze nguvu kubwa katika kuichukua dola kutoka kwa hawa majizi, pia tuwekeze nguvu kubwa katika kukijenga chama na wanachama kiuchumi ili tuwe mfano wa kuigwa kwa watanzania. Ikiwezekana chama kiwe na microfinancies zake na hata banks zake tukopeshe wanachama kwa sera nzuri ili wainue vipato vyao.

Ni ukweli kwamba hata tukiwa na sera na itikadi nzuri bila kuwa na uchumi mkubwa na vyombo vikubwa vya habari kukitoa hiki chama cha majizi ya pesa zote za wananchi itakuwa ni shughuli ngumu zaidi.

Ahsanteni.
MBOWE, Erythrocyte , Mnyika CHADEMA
 
Hivi unafikiri mataifa makubwa na taasisi kubwa zenye ma tv station ni kwamba hazioni hizo social media mkuu
Mzee sahivi watu kwenye TV wanaangalia mpira pekee vitu vingine vyote wanaviona kwenye socia media, achana na mambo ya kizamani yaani uwe unasubiri taarifa ya habari saa 2 usiku?
 
Ndio maana tunasema tv ya chama ambayo itakuwa na vipindi vya chama vikiwa vizuri vitasikilizwa na kutazamwa kila saa, hii ya kuangalia mpira na taarifa ya habari ni kwa sababu vipindi vingi havigusi hisia za wananchi mkuu
 
Ufafanuzi mujarab ,thank you.
 
Ofisi tu na Makao Makuu yenye hadhi yamewashinda kujenga ije kuwa chombo cha habari!?
Subirini Mbowe aanzishe ili awe anawatoza kupitia mapato ya ruzuku!
Viongozi wa hovyo kabisa!
 
Habari ndugu na marafiki,

Ingawa ofisi ya chama physically haikuwa tatizo kwetu, tulitaka kwanza kupanda mbegu ya itikadi ya chama mioyoni mwa watanzania na tumefanikiwa vizuri sana. Torati ya musa ilikuja kabla ya mahekalu, injili ya bwana yesu ilikuja kabla ya makanisa na korani ya mtume Muhammed ilikuja kabla ya misikiti.

Tuna wanachama wa kutosha kuliko hata chama cha mabunduki(Ccm) tuna mfumo wa kidijitali wa usajili wananchi wanajisajili kwa hiari.

Chama kina mtandao mkubwa wa wanachama mpaka ngazi ya vitongoji na mitaa, tuna uongozi na viongozi werevu, tuna platforms nyingi za kupashana habari nchi nzima na duniani kote.

Tunakubalika kuliko chama chochote nchini hatusombi wanachama kwenye malori ya mkaa ili kujaza viwanja vya wanasiasa kama kile chama cha mambuzi cha kale.

Chama chetu ni cha haki na demokrasia kinajengwa na wananchi wenyewe kwa hiari na si kwa wizi wa kodi za watanzania maskini. Ruzuku ya mchongo haijawahi kutufikisha popote.

Pamoja na mambo mengine mengi mazuri tunayojivunia kama chama kwa nia njema kabisa huu ni wakati wa kufanya juu chini hata kwa kuchangishana wanachama, wananchi na wadau wetu tuwe na chombo kikubwa kabisa cha habari za ndani na kimataifa ili kuendana na ulimwengu wa sayansi na teknolojia.

Kwa kufanya hivi tutakuwa tumewaacha mbali hawa wapinzani wetu wa kianalogia, ambao viongozi wao wana akili na fikra mgando za miaka 1600's ndio maana wameshindwa kuivusha nchi kutoka kwenye ujinga, umaskini na maradhi kwa miaka mingi. Kwa sasa ni kama ujinga, umaskini na maradhi kwa watanzania ni turufu yao.

Tuwekeze nguvu kubwa katika kuichukua dola kutoka kwa hawa majizi, pia tuwekeze nguvu kubwa katika kukijenga chama na wanachama kiuchumi ili tuwe mfano wa kuigwa kwa watanzania. Ikiwezekana chama kiwe na microfinancies zake na hata banks zake tukopeshe wanachama kwa sera nzuri ili wainue vipato vyao.

Ni ukweli kwamba hata tukiwa na sera na itikadi nzuri bila kuwa na uchumi mkubwa na vyombo vikubwa vya habari kukitoa hiki chama cha majizi ya pesa zote za wananchi itakuwa ni shughuli ngumu zaidi.

Ahsanteni.
Wafungue akaunti maalumu kwa ajili hiyo tuchangie fasta,japo tunafahamu kupata leseni kwa ajili ya kufungua mf.tv station itakuwa kipengele
 
Back
Top Bottom