Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Leo Makonda ameita vyombo vya habari, ameeleza mengi kuhusu kauli ya Mbogwe kuhusu kujiondoa kwenye maridhiano. Amedai Mbowe ni mnufaika wa maridhiano na kwamba kama siyo maridhiano angekuwa yupo gerezani .
Kwa upande wake chadema imeeleza kutojibizana na kauli yoyote ya Makonda kwani kufanya hivyo nikumpa uhalali wa kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa huku kila mtu akifahamu mambo mabaya aliyowatendea . Wamedai kumsaidia Makonda ni njia nzuri yakutuma ujumbe kwa CCM kwamba nchi haiwezi kuendelea kukumbatia waalifu katika mfumo wa kutafuta haki.
Wameeleza pia kwamba tangu aingie ofisini mambo yote yanayohusu maridhiano yamefifia na katibu mkuu wake alimkataa na kuamua kujiuzulu.
Je, chadema watafanikiwa kwa kususa kushirikiana na kupambana kisiasa na Makonda? Endapo wakiamua kutekeleza kususa huku Makonda atapambana na nani? Au atakuwa anakosoa na kijijibu?