Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Askofu Rweyongeza wa Kanisa Katoliki jimbo la Kayanga mkoani Kagera amewataka Wananchi wachague Viongozi bora na wasirudie makosa ya 2020. Askofu Rweyongeza amesema ule wa 2020 haukuwa Uchaguzi...
22 Reactions
96 Replies
8K Views
Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa...
29 Reactions
82 Replies
11K Views
Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface...
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Abdul Nondo anasema kwenye kituo Kimoja huko Mbarali chenye Wapiga kura 70 fomu ya majumuisho iliyosainiwa na Tume ya Uchaguzi inasomeka ACT Wazalendo wamepata kura 40 na CCM wamepata kura 63...
35 Reactions
171 Replies
18K Views
CHADEMA kimekuwa ni chama cha kususasusa na kununa hovyo kanakwamba huko kumejaa watoto. Wamesusia vitu vingi sana mfano; Chaguzi zote ndogo za Udiwani na Ubunge eg, Uchaguzi wa Jimbo la Mbarali...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakati Rais Samia ampe majukumu ya kusimamia TAMISEMI Waziri Mchengerwa alimtaka akafanye jambo kwenye uchaguzi ujao wa Serkali za mitaa ili uwe huru na wa haki mbele ya kamera ila nyuma ya kamera...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Ushindi mkubwa wa kishindo walioupata CCM katika jimbo la mabara-Jijini Mbeya, ni ishara njema ya kukubalika, kuimarika na kuaminika kwa chama cha mapinduzi kwa wananchi na uhakika wa kushinda...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Wengi wanashangaa kwanini sasa kuna sintofahamu kubwa kuhusiana na mambo ya Umeme, Petrol na Diesel Wapendwa jipeni moyo na tuzidi kumuombea kwa Mungu wa mbinguni ndugu Yetu Doto Biteko akapewe...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Moja ya vitu vilivyonishangaza kwa huyu RPC wa Mbeya ni pale nilipojua kuwa amesoma sheria na ni wakili aliyeapishwa. Najiuliza maswali kadhaa juu ya RPC huyu 1. Aliwezaje kuwa wakili kama ni...
11 Reactions
16 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mary Chatanda amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, Veronica Vicent kujitafakari juu ya utendakazi wake ndani ya Wilaya hiyo. Chatanda amesema kuwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hasaani amekamilisha ziara yake Mikoa ya Mtwara na Lindi, iliyoanza Desemba 15 hadi 20, 2023. Ziara hii imekuwa ziara yenye mafanikio...
2 Reactions
2 Replies
558 Views
Muhongo on Mtwara deomostrators: You stand condemned By Florian Kaijage 29th December 2012 The Minister for Energy and Minerals, Prof. Sospeter Muhongo has said that people...
1 Reactions
273 Replies
25K Views
Nianze kwa kupongeza uamuzi wa Serikali kuamua kuitikia wito wa kuunda Tume ya kufuatilia suala la Madaktari Wahitimu Watarajali Nchini. Uamuzi huo unaonesha wazi Serikali ipo kazini na ina nia...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
MBUNGE BAHATI NDINGO - NI HESHIMA KUBWA KUCHAGULIWA NANYI KUWA MBUNGE WENU MPYA Anaandika Mbunge Mpya wa Jimbo la Mbarali, Mhe. Bahati Keneth Ndingo. Wapendwa wenzangu wa Jimbo la Mbarali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Rais Magufuli amemuagiza Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Dkt. Arnold M. Kihaule kufika Mkoani Morogoro leo na ikiwezekana akae Mkoani humo hata siku tatu ili kushughulikia tatizo la Watu wengi kukosa...
7 Reactions
167 Replies
23K Views
Shirika la Bandari Zanzibar limeingia Mkataba wa Biashara na kampuni ya AGL Group Ili Kuendesha Bandari ya Malindi ya Malindi kitengo Cha makontena Kwa miaka 5 ambapo pamoja na mambo mengine...
4 Reactions
167 Replies
16K Views
Uhuru wa kujieleza ni Haki ya Kimsingi ya Binadamu, iliyobainishwa katika kifungu cha 19 cha Azimio la Kimataifa la Haki za Kibinadamu. Hata hivyo, Baadhi ya Serikali na Watu binafsi katika...
3 Reactions
4 Replies
895 Views
Kama mitandao haina taathira kwenye Siasa za Tanzania, mbona CCM hulazimisha mitandao ifungwe au ipoozeshwe Kasi yake wakati wa Uchaguzi? Nape anadhani tumesahau jinsi kwenye uchaguzi wa 2020...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb), ameliagiza Jeshi la Polisi kutumia sheria na taratibu zilizopo kudhibiti mtu yeyote mwenye viashiria au lengo la kuvuruga amani...
0 Reactions
3 Replies
662 Views
Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini? Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta...
25 Reactions
99 Replies
6K Views
Back
Top Bottom