Msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za mitaa kitaifa amesema hamtashinda hata kijiji kimoja nyie mpo mpo tu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Wakati Rais Samia ampe majukumu ya kusimamia TAMISEMI Waziri Mchengerwa alimtaka akafanye jambo kwenye uchaguzi ujao wa Serkali za mitaa ili uwe huru na wa haki mbele ya kamera ila nyuma ya kamera mchengerwa amepewa kazi ya ziada nayo ni kuhakikisha CCM inashinda vijiji vyote .

Akilewa sifa mbele ya wapiga kura wake mkewe Jana waziri Mchengerwa akalipuka na kilichopo moyoni mwake kuwa "UPINZANI HAUTASHINDA HATA KIJIJI KIMOJA WALA MTAA MMOJA "katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.

Hii kauli ni kauli ya KIHAINI Kwa mtu anayepaswa kusimamia uchaguzi huo kama Waziri wa TAMISEMI (he supposed to be neutral) .

Hapa wapinzani lazima wakemee hili hata sisi wanaccm tunaona mchengerwa hakutumia busara

USSR
 
Yani fanyeni kama 2019 na 2020, mtutawale zaidi ya mkoloni...
Matatizo yetu kama taifa yanakuwa yameisha kabisa...
Umeme,
Maji,
Elimu,
Wizi na Ufishadi
Miundombinu.
Biashara duni
Umaskini
Kilimo.

Mwambie aendelee hivyo hivyo yani mshinde mshindilie.
 
Heheheee......wala hatuna habari wao watawale tu kama Mugabe na Paul kagame .
 
Wakati Rais Samia ampe majukumu ya kusimamia TAMISEMI waziri mchengerwa alimtaka akafanye jambo kwenye uchaguzi ujao wa serkali za mitaa ili uwe huru na wa haki mbele ya kamera ila nyuma ya kamera mchengerwa amepewa kazi ya ziada nayo ni kuhakikisha CCM inashinda vijiji vyote .

Akilewa sifa mbele ya wapiga kura wake mkewe Jana waziri mchengerwa akalipuka na kilichopo moyoni mwake kuwa "UPINZANI HAUTASHINDA HATA KIJIJI KIMOJA WALA MTAA MMOJA "katika uchaguzi ujao wa serkali za mitaa.

Hii kauli ni kauli ya KIHAINI Kwa mtu anayepaswa kusimamia uchaguzi huo kama waziri wa TAMISEMI (he supposed to be neutral) .

Hapa wapinzani lazima wakemee hili hata sisi wanaccm tunaona mchengerwa hakutumia busara

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Halafu wale wala rushwa za wawekezaji wako wanavizia nyimbo na kauli za kitoto. Huyu waziri siyo tu anatenda uhaini bali anatupeleka kwenye machafuko! ameshasema vile vile hatamuacha salama atakayetaka kumtoa mkwe! \\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\TANPOL IGP anachukua ngapi huku!?
 
Sio wa Kwanza, Magufuli hakusema tu, alifanya kwa vitendo, kiko wapi?
 
Halafu wale wala rushwa za wawekezaji wako wanavizia nyimbo na kauli za kitoto. Huyu waziri siyo tu anatenda uhaini bali anatupeleka kwenye machafuko! ameshasema vile vile hatamuacha salama atakayetaka kumtoa mkwe! \\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\\TANPOL IGP anachukua ngapi huku!?
Wanatuona Kenge tu😆😆
 
Wanaiga Mugabe na M7.
Tuone watafika wapi

Hawafiki kokote, hao wana maadui mpaka ccm ndani, Hakuna mwanaume na mthubutu mwingine nchi hii zaidi ya Magufuli, alikuwa halii lii na kulalamika, neno lake ni sheria.
 
Wakati Rais Samia ampe majukumu ya kusimamia TAMISEMI Waziri Mchengerwa alimtaka akafanye jambo kwenye uchaguzi ujao wa Serkali za mitaa ili uwe huru na wa haki mbele ya kamera ila nyuma ya kamera mchengerwa amepewa kazi ya ziada nayo ni kuhakikisha CCM inashinda vijiji vyote .

Akilewa sifa mbele ya wapiga kura wake mkewe Jana waziri Mchengerwa akalipuka na kilichopo moyoni mwake kuwa "UPINZANI HAUTASHINDA HATA KIJIJI KIMOJA WALA MTAA MMOJA "katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa.

Hii kauli ni kauli ya KIHAINI Kwa mtu anayepaswa kusimamia uchaguzi huo kama Waziri wa TAMISEMI (he supposed to be neutral) .

Hapa wapinzani lazima wakemee hili hata sisi wanaccm tunaona mchengerwa hakutumia busara

USSR
Mungu wa mbinguni ataingilia na tutapata uhuru
 
Kwani ndani ya viongozi wa CCM nani mwenye akili timamu?
 
Back
Top Bottom