Wakili Jebra Kambole asema Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kwa uchochezi akwama kupata dhamana Polisi

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
F6Tvf7IX0AA4G53.jpeg
Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa."

Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” unaodaiwa kuwa na maudhui ya uchochezi dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kisha kuurusha katika Mitandao ikiwemo YouTube

Alikamatwa Septemba 13, 2023 akiwa Isyesye-Mbeya na bado anaendelea kuhojiwa kwa hatua zaidi za kisheria

F6Tvf7LWEAAFyrf.jpeg

Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
 
Hivi jamani: Ona
Bandari imeenda kimya ukipiga kelele unapigwa uhaini ili unyongwe
Mbuga za wanyama zimeenda na wakazi wa maeneo yale wanafukuzwa kama mburukenge siye kimya- Eti polisi hawataki tuwafikie!!
Juzi tumeona kumbe wakuu wa polisi ni wanufaika na madini yetu siye kimya----
Mtoto wa rais anahusishwa kwenye mgawo wa kifisadi siye buuu kimya---
Halafu mazeri amepania kuingia mazima ili atumalize vizuri na mburukenge zipo zinamtetea!!
Mnafikiri wanatuonaje? kama siye si kama huyu hapa!

1695051144202.png
 
K
Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa."

Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” unaodaiwa kuwa na maudhui ya uchochezi dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kisha kuurusha katika Mitandao ikiwemo YouTube

Alikamatwa Septemba 13, 2023 akiwa Isyesye-Mbeya na bado anaendelea kuhojiwa kwa hatua zaidi za kisheria

Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
Kama wasingemkamata huo wimbo nisingeusikiliza, polisi wetu iq ndogo sana
 
Polisi wanajikomba sana kwa watawala
Wiki iliyopita askari polisi mmoja mstaafu aliniomba lift huku akiwa na tabasamu zito usoni, alichofanikiwa ni kumpiga jicho kavu bila majibu yeyote!
Na sijutii hilo nililofanya ili akajitafakari na kuwausia wengine alio waacha kazini
 
Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa."

Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” unaodaiwa kuwa na maudhui ya uchochezi dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kisha kuurusha katika Mitandao ikiwemo YouTube

Alikamatwa Septemba 13, 2023 akiwa Isyesye-Mbeya na bado anaendelea kuhojiwa kwa hatua zaidi za kisheria

Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
Kwenye maeneo kama haya ya imani nafikiri mara nyingine akaina Jebra wake pembeni tu.

Mwakipesile ni mental case!! Hakuna mtu wala hakuna kanisa pale. Huyu hana tofauti na akina Mackenzie wa Shakahola au Kibwetere. Huwa wanaanza hivi hivi halafu wanapata watu kisha wanawachoma moto.

Unawangalia hao mabinti wadogo namna walivykuwa BRAINWASHED, Mwakipesile akiwaamia lolote wanafanya.
Hebu tuiache Serikali iepushe wachomwa moto wa baadaye
 
Wiki iliyopita askari polisi mmoja mstaafu aliniomba lift huku akiwa na tabasamu zito usoni, alichofanikiwa ni kumpiga jicho kavu bila majibu yeyote!
Na sijutii hilo nililofanya ili akajitafakari na kuwausia wengine alio waacha kazini
Ndugu yangu.
Hawa jamaa wakistaafu wanakumbwa na maradhi yasiyo kichwa wala miguu na wanasanda sana.

Roho mbaya ni mbegu ya maradhi ya uzeeni
 
Kumbe ndio wimbo huo?

Mimi niko Bega kwa Bega na msanii... #Wanatuona kama Manyani#
Polisi walishaambiwa CCM ikiondolewa madarakani wajue na wenyewe watapoteza kazi, kwani jeshi la Polisi litafutwa.
Sasa na hivi wenyewe hawazitumiagi zile za kichwani, wameamini hili na kuanza 'kupambania' kubaki kazini
 
Eeh si wanatuona NYANI?
Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa."

Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” unaodaiwa kuwa na maudhui ya uchochezi dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kisha kuurusha katika Mitandao ikiwemo YouTube

Alikamatwa Septemba 13, 2023 akiwa Isyesye-Mbeya na bado anaendelea kuhojiwa kwa hatua zaidi za kisheria

Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
 
Na raia wametulia tu...
Hivi nyie wapigania uhuru wa kisasa huwa hamuoni hakuna suppport ya wananchi mkaushe tu?
wapigania uhuru wa zamani walikuwa wanakula mihogo,ugali wa udaga,nyama pori,walikuwa wanavuta sigara ya nyota na bia ya safari na konyagi na walikuwa wanalala maporini au kwenye tents,wa sasa ivi wanakula chipsi mayai,bugger,pizza,sausage,,,,sigara wanatumia shisha,,,bia wanakunywa heineken,,,na wine na wanalala,,,,,,hoteli kama kempiski,silver sand n.k
 
Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa."

Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” unaodaiwa kuwa na maudhui ya uchochezi dhidi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kisha kuurusha katika Mitandao ikiwemo YouTube

Alikamatwa Septemba 13, 2023 akiwa Isyesye-Mbeya na bado anaendelea kuhojiwa kwa hatua zaidi za kisheria

Pia soma Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
Hivi wanasheria wetu mbona hamsemi lolote kuhusiana na sheria inayotaka upelelezi kukamilika ndipo mshukiwa awekwe mahabusu? Au hii sheria haikusainiwa inangojea uchaguzi mkuu upite?
 
Back
Top Bottom